pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwa hivyo Tanzania mnamiliki hadithi kwenye filamu yenyewe? [emoji15] Wakanda ni fictional, kawaida ya vitu kama hivyo ni kwamba unaweza pata setting ni ya Morroco lakini lugha inayoongewa ni kizulu na tamaduni wanazozionesha ni za Australia. Ila waigizaji ambao wanaigiza roles kwenye movie sio watu fictional na homegirl wetu, nyar-Kisumu Lupita Nyong'o alituwakilisha vilivyo. Movie yenyewe ilizinduliwa kwanza Kisumu kwa heshima ya Lupita.You don't own the story just by acting on it, mtu anaweza kucheza character ya Nelson Mandela, but it doesn't make the Nelson Mandela.
Kila kitu kilichosemwa kwenye post, kina patikana Tanzania.