Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu.
Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu Swali la Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mheshimiwa Boniphace Nyangindu Butondo, aliyeuliza Je, ni lini Serikali itapeleka Fedha Jimbo la Kishapu kupitia Mfuko wa TARURA kwa ajili ya Barabara zenye urefu wa Km 522 ambazo zipo katika hali mbaya.
“Serikali imefanya tathimini ya mtandao mzima wa barabara katika Wilaya ya Kishapu na kubaini ukubwa wa uharibifu ambapo shilingi 2,553,415,000.00 zinahitajika ili kuzifanyia matengenezo barabara hizo” Mhe. Katimba.
Amesma katika kukabiliana na changamoto hiyo, Serikali imekwishapeleka shilingi 190,000,000.00 kwa TARURA Wilaya ya Kishapu kwa ajili ya kuanza kufanya matengenezo ya dharura kwa baaadhi ya maeneo.
“Serikali inaendelea kulipa uzito suala hili na matengenezo yataendelea kufanyika kadiri ya upatikanaji wa fedha.”