Vijana wenzangu, poleni na jua kali.
Ni jambo jema kwetu sisi wasio na ajira kuona miradi ya kimkakati ikianza tena kufunguka. Kiukweli, hapo nyuma miradi mingi ilisimama ghafla.
SGR Tabora - Kigoma
Fika Ulambo, kuna kambi pale, na maoperator wameshaanza kazi ya division.
Morogoro
Bwawa la Mindu, vijana wameanza kazi hapo pia.
Arusha
Kuna ujenzi wa uwanja wa mpira, na kazi kubwa hapa ni kwa wasuka nondo (steel fixers).
Mloka
Wachina wa Sino Hydro wanaendelea na ujenzi wa uwanja wa ndege.
Ndugu zangu wasio na ajira, ukisogea kwenye maeneo haya huwezi kukosa kazi. Kazi nyingi hazihitaji kutuma maombi kwa email—fika getini, usotee, utanikumbuka!