Wakati ACT-Wazalendo wakichangia shilingi milioni mbili,sitashangaa chama cha kijani nacho kikachangia ili kujisafisha na aibu hii ya kisiasa

Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa 48 yapi. Hebu uwege na aibu kidogo. Kwanza jiulize nd ya 24hrs tayar 234m zimepatikana na tayari wanawake wa bawacha wamesha patiwa remove order. Unadhani ni jambo dogo?
Kama.mashinji kalipiwa hiyo hela tuoneshwe effect document kama tulivooneshwa za halima na wenzie
 
Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si unasubiri upakuliwe nyuma ili upate pesa! Wenzako wanazisotea!
 
Safi Zitto; !! Umoja na mshikamano hasa wakati wa shida ni wa muhimu saana.
 
Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa mwenyekiti wako ameshafanya kile nilichokitabiri.

Tunawajua vizuri sana nyie!!
 
Aisee Salary Slip ulichotabiri kimetokea ila fedha zimetoka kwa mwenyekiti. Yaani hakuna drama tutaacha ona.
Huu utabiri niliuona ni far-fetched lakini sasa hivi nakiri, awamu hii hakuna kituko kisichowezekana.
 
Yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…