gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Masaa 48 yapi. Hebu uwege na aibu kidogo. Kwanza jiulize nd ya 24hrs tayar 234m zimepatikana na tayari wanawake wa bawacha wamesha patiwa remove order. Unadhani ni jambo dogo?Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha
Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama.mashinji kalipiwa hiyo hela tuoneshwe effect document kama tulivooneshwa za halima na wenzie