Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huo unyama ulishawahi kuripoti polisi?Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?
Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .
Tuheshimiane
View attachment 2880449
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?
Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .
Tuheshimiane
View attachment 2880449
Hivi huwa anaeneza ushuzi au makalio? Maana anaongea Upuuzi kila aendako.Yeye mwenyewe mbona anashindwa kunyooka kalio limemzidi uzitoView attachment 2880456
Paul Makonda ni mchumia tumboKuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?
Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .
Tuheshimiane
View attachment 2880449
Ukweli lazima usemwe😀 Mkuu una maneno makali
Hii ni Chapa chapa dengu?tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .
Tuheshimiane
Very stupid. Embu pambana utafute pesa uyajenge maisha yako ya sasa na ya badae acha kukaa vijiweni na kupiga umbea. Huyo unaemchukia hata hakufahamu na hata huna impact yoyote kwake, ww kwake ni kama tone na mafuta baharini.Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?
Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .
Tuheshimiane
View attachment 2880449
Nimesikia alivyoongea. Ni dharau na kebehi kwa Maza. Yaani bado wanaamini zama za Magufuli.Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?