Wakati Boss akiwa na kashfa ya kubaka;Mwanamuziki wa Akudo akamatwa na Madawa ya kulevya China

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
4,717
Reaction score
8,083
Rapper Canal Top wa Akudo Impact ambaye mmiliki wake ni Prof Kapuya inasemekana amekamatwa China akiwa na Madawa ya kulevya
stay tuned kwa habar zaid

source;mwanamuziki mwenzie wa Akudo
 
si alijitapa kuwa wanae wanafanya uzungu wa unga hawakamatwi??
Haya sana
 
Mwaka wa majanga ukifika huna pa kukimbilia. Kesho na kesho kutwa utasikia ni kwa sababu mganga wake kafa. He he he
 
Rapper Canal Top wa Akudo Impact ambaye mmiliki wake ni Prof Kapuya inasemekana amekamatwa China akiwa na Madawa ya kulevya
stay tuned kwa habar zaid

source;mwanamuziki mwenzie wa Akudo
Na hii tena!
 
Boss yupi mkuu
 
Nchi imelaaniwa mpaka hii miaka 5 ipite
 
Huyu mzee mmiliki wa Akudo si alisema wao ndio serikali na kwamba watoto wao wanauza unga hakuna wa kuwafanya kitu
 
Back
Top Bottom