Infiltrator
Senior Member
- May 13, 2017
- 126
- 227
Na Jackson Jonathan
Katika siasa za sasa, CHADEMA kimeonekana zaidi kama chama cha mitandaoni, kikitumia nguvu nyingi kwenye "Twitter" maarufu kama "X" kuliko uhalisia wa kisiasa.
Badala ya kuja na sera madhubuti, wamebobea katika porojo za mtandaoni, wakiamini kuwa "hashtag" ina uzito zaidi kuliko mikakati ya maendeleo.
Mazungumzo yao yamejaa "trending topics" badala ya mipango ya kumkomboa mwananchi wa kawaida.
Wanachojali zaidi ni "likes" na "retweets," wakipuuza changamoto halisi zinazowakabili wananchi.
Kwa upande mwingine, CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan, wapo “site” wakitatua changamoto za wananchi moja kwa moja.
Wakati wapinzani wakiendelea na mijadala ya mitandaoni, Dkt. Samia ameongoza chama na serikali yake kwa kuhakikisha wanajikita kwenye kutatua kero za msingi zinazowakabili wananchi kila siku.
Soma Pia: Prof. Kitila Mkumbo: Wapinzani Wanauza Malalamiko, CCM inauza Mafanikio
Kuanzia kuboresha huduma za afya, elimu, mpaka miundombinu, Rais Samia yupo mstari wa mbele kuhakikisha kuwa maendeleo yanapatikana kupitia vitendo na si maneno.
Wakati CHADEMA wanasubiri "mention" mpya, CCM ipo kazini, ikisikiliza, kujibu, Kupokea na kutatua mahitaji ya wananchi kwa vitendo, si kwa "tweets."