Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda.
Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama chao.
Kwa CCM mjadala ni mabasi, ila kwa CHADEMA mjadala ni nani kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe anapaswa kuwa Mwenyekiti wao.
Hapa ni kama walioko madarakani walipaswa kuwa nje ya madaraka, na walio nje ya madaraka ndiyo walistahili kuwepo madarakani.
Jokate anasifia yale mabasi honi zake sauti yake ni kama kinanda (just joking)😂