Wakati CCM wanatengeneza safu ngumu ya uongozi, Wengine wanaendelea kufanya mikutano na Wanaharakati Twitter. 2025 watarudi kusema wameibiwa kura

Ka CCM kananuka RUSHWA , uongozi unanunuliwa Kwa PESA- Nyerere alisema.

Mifumo ya walanguzi ndo unaita viongozi?


Kiongozi tangu lini akawanunua wapigakura Ili awaongoze?
 

CCM ya mafisadi nani anamuda nayo?
 
M
Ambao walivuruga mchakato wa katiba mpya ni ccm au ukawa?

Ukawa ulivurugwa na ccm au walio mpokea laigwqnani? (Wenye walikula mafweza wana elewa)

Mchakato uliharibiwa na CCM baada ya kubadilishana msingi wa rasimu ya Warioba.
 
Umeongea utadhani unaongea na wapumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…