Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hivi ninyi watu mnaojiita wapinzani ni nani aliyewaroga?!
Kwanini hamuwezi kwenda na agenda moja yenye maslahi mapana kwa wananchi?
Agenda ya katiba mpya ni kilio cha muda mrefu kutoka Chadema na hakika wameendelea kupambana,kuitetea na kuisimamia kwa gharama kubwa!
Sasa ajabu la mwaka ni hicho cha Zitto baada ya kuona na pengine kushirikiana na Serikali kimeamua kiwe na agenda kinzani na wenzao kwa hoja mfu kabisa eti ni muhimu kuwe na Tume huru ya uchaguzi na ndiposa katiba mpya ifuate.
Ukichunguza kwa umakini ni wazi chama cha Zitto kinatumika kuhamisha agenda yenye mashiko ya Chadema kuhusu katiba mpya kwa maslahi ya Serikali iliyopo madarakani ya CCM.
Hivi Tume huru pasina kulindwa na katiba bora itafanikiwa vipi kutimiza majukumu yake?!
Je, Zitto si laghai la kisiasa linalojirahisi kutumika?!