SawaHoja hapa sio tume ya uchaguzi na katiba. Hoja hapa ni zitto yeye kaamua kudai tume ya uchaguzi, je hilo linamfanya awe laghai?
Chadema wana vipaumbele vyao na ACT ina vipaumbele vyake ndio maana sio chama kimoja.
Kila kimoja kifanye siasa kwa maono yake.