Wakati CHADEMA wakidai Katiba Mpya ACT Wazalendo wanataka Tume Huru. Je, Zitto ni laghai wa kisiasa?

Sawa
 
Zitto kabwe kabla ya RIPOTI ya leo kuwasilishwa,iliyoshauri kuwa katiba mpya iwe baada ya uchaguzi w 2025, alijitoleza katika mitandao mingi na kikosi kazi chake alichokiunda na kusambaza hizo agenda ya kuwa katiba mpya sio Sasa mpaka baadae ila akaushauri Tume mpya ya uchaguzi ndo ianze.

Je kilichotokea leo zitto kwa maana ya mrema Alie changamka alitumwa kuja kutest hypothesis?
 
Inawezekana ngoja nikamchunguze!!!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kila anachokisema Zitto kwa sasa anatumwa na Hangaya
 
🤣🤣🤣Mrema aliye?
 
Wameamua kuchonga mzinga ile asali kwenye kijiko imekuwa tamu
Zito hana cha kupoteza kwasasa hata udiwani hawezi pata hivyo kaamua ku Join the chain na Bi Mkubwa wake
 
Alinishangaza tu alivyokuwa anaitika kwa kutikisa kichwa huku anasisimkwa mwili kama anaonja kiasi cha limao kwenye kachumbari.
 
Mrema unamuonea kumfananisha na huyo Yuda
 
Dogo kama ulikuwa hujuwi basi samahani, kijana Zitto alitoka kwenye choo cha umma (CCM) kimkakati ili awe anaua upinzani kama ilivyo kwa Mrema enzi zile ya miaka ya 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…