Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama.
Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia.
Asante Dotto Magari kwa kututembelea na kuwaonesha watanzania namna ofisi za chama zinatakiwa kuwa.
#miaka48yaCCM
#chamalawana
#miminiCCM
#umojawetunguvuyetu