Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
IMG_20200413_164432.jpg
Kutokana na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya nchini Kenya leo tarehe 21/06/2020, Kenya imerekodi visa 260 vipya vya maambukizi ya virusi vya Corona na kupelekea jumla idadi ya maambukizi kuwa 4,738. Idadi hii ya maambukizi inavunja rekodi ya idadi ya maambukizi mengi kutangazwa kwa siku moja tangu ugonjwa huo kuingia nchini Kenya.

Hata hivyo serikali ya Kenya imelegeza masharti na kuruhusu zaidi ya wagonjwa 500 katika kaunti mbali mbali kurudi nyumbani japokuwa hawajapona ili wakajitibu wenyewe.
 
Vizuriiii pima pima pima pima pimaaa angalau tufike 5000 bila yakupima hatutojua idadi rasmi ,pia idadi ya vifo mbona hatuambiwi jamani angalau na waliokufa tungejulishwa ingependeza tungejua kama huu ugonjwa hatar
Kenya wamekufa 249 mpaka sasa
 
Hawa Wakenya wanajifanya wajanja sana lakini mwishoni na wao wameruhusu kujivukiza
 
Cannabis,

Vipi hao wamepatikana Namanga mpakani? Si walikuwa wanasema Watanzania tunapeleka corona. Inakuwaje sasa maambukizi yanaongezeka? Inakuwaje waruhusu wagonjwa kwenda nyumbani si wataeneza corona huko mitaani? Mwisho wa siku watakikubali tu chuma cha Tanzania.
 
Mna uelewa finyu kupindukia, protokali za kuwakubalia wagonjwa kurudi makwao ndio zimebadilika. Hii ni baada ya utafiti mpya kudhibitisha kwamba baada ya siku kumi wagonjwa(symptomatic na assymptomatic pia) hawawezi wakaambukiza mtu yeyote virusi vya COVID-19.

Matokeo ya utafiti huo yanazingatiwa kote duniani, ila hakuna mgonjwa anayeruhusiwa kurudi nyumbani kabla ya siku 14, maanake inahitajika siku tatu zingine za ziada, za uchunguzi wa afya ya wagonjwa(sanasana wale 'symptomatic'). Hivi ni vitu ambavyo kwenu sio rahisi kuvielewa, maanake mna bahati sana kwasababu Tanzania hakuna Corona. [emoji1] Criteria for releasing COVID-19 patients from isolation
 
Ukweli ni kwamba kenya wanafanya biashara ya corona ndio maana hakuna juhudi zozote za kuzuia maambukizi. Na wana target yao ya kuifikia ili wapewe tena pesa maana wao kam wao wameshindwa kutengeneza pesa. Hili gonjwa kwa jirani zetu ni mtaji.

Miezi iliyopita walitabiriwa kuwa kufikia katikati ya Juni maambukizi yatafikia kati ya watu 250 hadi 270 kwa siku. So wanajaribu ku prove watabiri wapo right na hawafanyi jitihada ya kupunguza. Ni suala la kuuzunisha sana.
 
Kenya Corona inawafaidisha na nini?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mna uelewa finyu kupindukia, protokali za kuwakubalia wagonjwa kurudi makwao ndio zimebadilika. Hii ni baada ya utafiti mpya kudhibitisha kwamba baada ya siku kumi wagonjwa(symptomatic na assymptomatic pia) hawawezi wakaambukiza mtu yeyote virusi vya COVID-19. Matokeo ya utafiti huo yanazingatiwa kote duniani, ila hakuna mgonjwa anayeruhusiwa kurudi nyumbani kabla ya siku 14, maanake inahitajika siku tatu zingine za ziada, za uchunguzi wa afya ya wagonjwa(sanasana wale 'symptomatic').

Hivi ni vitu ambavyo kwenu sio rahisi kuvielewa, maanake mna bahati sana kwasababu Tanzania hakuna Corona. [emoji1] Criteria for releasing COVID-19 patients from isolation
Wakenya akili zao hawana tofauti na ile play station game ,hawajikubali na kuamini akili zao hata kidogo hawafanyi chochote bila kusubir wazungu wamezemaje tena wanamuamini mzungu %100 kuliko , mutachezeshwa Sana hii game kwa kua akili za watu wa huko zakitumwa cjui hicho kingereza bdio kilichowaaribu !! Hapo baada ya mwezi wazungu wakikuambieni mgonjwa akiambukizwa baada ya kupata kiba ikipita cku 5 anaweza rudi nyumban kwasababu baada ya cku tano anakua hawezi ambukiza teba mutaamin na mutafata .Huu ni ugonjwa wa kutengeneza hofu lakini hamna ugonjwa hapa hata maralia ni hatar zaidi kuliko Corona sema hii ni gemu inachezwa ili mupate hofi iwe lahisi kutawalika maana kila cku itabidi uishi kwa msaada tu.
 
Mna uelewa finyu kupindukia, protokali za kuwakubalia wagonjwa kurudi makwao ndio zimebadilika. Hii ni baada ya utafiti mpya kudhibitisha kwamba baada ya siku kumi wagonjwa(symptomatic na assymptomatic pia) hawawezi wakaambukiza mtu yeyote virusi vya COVID-19. Matokeo ya utafiti huo yanazingatiwa kote duniani, ila hakuna mgonjwa anayeruhusiwa kurudi nyumbani kabla ya siku 14, maanake inahitajika siku tatu zingine za ziada, za uchunguzi wa afya ya wagonjwa(sanasana wale 'symptomatic'). Hivi ni vitu ambavyo kwenu sio rahisi kuvielewa, maanake mna bahati sana kwasababu Tanzania hakuna Corona. [emoji1] Criteria for releasing COVID-19 patients from isolation
Mtanyooka tu nyinyi ni suala la muda tu
 
Ukweli ni kwamba kenya wanafanya biashara ya corona ndio maana hakuna juhudi zozote za kuzuia maambukizi. Na wana target yao ya kuifikia ili wapewe tena pesa maana wao kam wao wameshindwa kutengeneza pesa. Hili gonjwa kwa jirani zetu ni mtaji.

Miezi iliyopita walitabiriwa kuwa kufikia katikati ya Juni maambukizi yatafikia kati ya watu 250 hadi 270 kwa siku. So wanajaribu ku prove watabiri wapo right na hawafanyi jitihada ya kupunguza. Ni suala la kuuzunisha sana.
Pesa zenyewe zinapigwa na wajanja! Aliyewaita nyang’au hakukosea
 
Cannabis,

Hahahaha, wagonjwa 500 kuwaruhusu, kila mmoja akiambukiza wat watano, ndani ya wiki moja tutapata

500 * 5= 2500

Wiki ya PILI itakua

2500 x 5 = 12500

Hahahaha, Hahahaha
Ungelipiga hzo idadi hko bongo ingelikua vyema sana[emoji23][emoji23]
Yani magu akisema atoe taarifa nakuapia utakimbia km ile round one
 
Back
Top Bottom