komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tanzania wamekufa wangapi[emoji23][emoji23]Kenya wamekufa 249 mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania wamekufa wangapi[emoji23][emoji23]Kenya wamekufa 249 mpaka sasa
Toka mitandaoni umsubiri jiwe aunde facebook yakeWakenya akili zao hawana tofauti na ile play station game ,hawajikubali na kuamini akili zao hata kidogo hawafanyi chochote bila kusubir wazungu wamezemaje tena wanamuamini mzungu %100 kuliko , mutachezeshwa Sana hii game kwa kua akili za watu wa huko zakitumwa cjui hicho kingereza bdio kilichowaaribu !! Hapo baada ya mwezi wazungu wakikuambieni mgonjwa akiambukizwa baada ya kupata kiba ikipita cku 5 anaweza rudi nyumban kwasababu baada ya cku tano anakua hawezi ambukiza teba mutaamin na mutafata .Huu ni ugonjwa wa kutengeneza hofu lakini hamna ugonjwa hapa hata maralia ni hatar zaidi kuliko Corona sema hii ni gemu inachezwa ili mupate hofi iwe lahisi kutawalika maana kila cku itabidi uishi kwa msaada tu.
Kwan jf mali ya Kenya?Toka mitandaoni umsubiri jiwe aunde facebook yake
Bwahaha!!toka mitandaoni bana, jiwe atawaundia mpaka gps yenu..Kwan jf mali ya Kenya?
Una njaa ee? C nilikupa ofa we ! Weka namba yako ya cm inbox tutatue tatizo.Bwahaha!!toka mitandaoni bana, jiwe atawaundia mpaka gps yenu..
Mabeberu wabaya sana, hata nguo zoa choma kabisa..simu tupa
Mimi cvai mitumbaBwahaha!!toka mitandaoni bana, jiwe atawaundia mpaka gps yenu..
Mabeberu wabaya sana, hata nguo zoa choma kabisa..simu tupa
Eeee si unavaa chato fashion bana, kwn nani asiyejuaMimi cvai mitumba
Kwahiyo baby c uweke namba nawee unajifanya huoni eeEeee si unavaa chato fashion bana, kwn nani asiyejua
Next patient[emoji382][emoji382][emoji382]Kwahiyo baby c uweke namba nawee unajifanya huoni ee
Naona munaumwaa na mitumba ila mpaka 2022 utaelewa nini tunachokimaanisha maana sasa munajifanya hayawaniNext patient[emoji382][emoji382][emoji382]
Sio mwakani tenaNaona munaumwaa na mitumba ila mpaka 2022 utaelewa nini tunachokimaanisha maana sasa munajifanya hayawani
Mwakani c bado miez5 tu au ndio njaa umepoteza matumain mwakani unaona bado sanaSio mwakani tena
Hahaha!!tangu 2019 mpka sai mwakani bado miezi mitano[emoji23][emoji23]Mwakani c bado miez5 tu au ndio njaa umepoteza matumain mwakani unaona bado sana
Hii ndio nilitegemea walau watu waseme, kwa sababu baada ya siku 11 mgonjwa hawezi kuambukiza mtu.Mna uelewa finyu kupindukia, protokali za kuwakubalia wagonjwa kurudi makwao ndio zimebadilika. Hii ni baada ya utafiti mpya kudhibitisha kwamba baada ya siku kumi wagonjwa(symptomatic na assymptomatic pia) hawawezi wakaambukiza mtu yeyote virusi vya COVID-19.
Matokeo ya utafiti huo yanazingatiwa kote duniani, ila hakuna mgonjwa anayeruhusiwa kurudi nyumbani kabla ya siku 14, maanake inahitajika siku tatu zingine za ziada, za uchunguzi wa afya ya wagonjwa(sanasana wale 'symptomatic'). Hivi ni vitu ambavyo kwenu sio rahisi kuvielewa, maanake mna bahati sana kwasababu Tanzania hakuna Corona. [emoji1] Criteria for releasing COVID-19 patients from isolation