Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

Wakenya akili zao hawana tofauti na ile play station game ,hawajikubali na kuamini akili zao hata kidogo hawafanyi chochote bila kusubir wazungu wamezemaje tena wanamuamini mzungu %100 kuliko , mutachezeshwa Sana hii game kwa kua akili za watu wa huko zakitumwa cjui hicho kingereza bdio kilichowaaribu !! Hapo baada ya mwezi wazungu wakikuambieni mgonjwa akiambukizwa baada ya kupata kiba ikipita cku 5 anaweza rudi nyumban kwasababu baada ya cku tano anakua hawezi ambukiza teba mutaamin na mutafata .Huu ni ugonjwa wa kutengeneza hofu lakini hamna ugonjwa hapa hata maralia ni hatar zaidi kuliko Corona sema hii ni gemu inachezwa ili mupate hofi iwe lahisi kutawalika maana kila cku itabidi uishi kwa msaada tu.
Toka mitandaoni umsubiri jiwe aunde facebook yake
 
Bwahaha!!toka mitandaoni bana, jiwe atawaundia mpaka gps yenu..
Mabeberu wabaya sana, hata nguo zoa choma kabisa..simu tupa
Una njaa ee? C nilikupa ofa we ! Weka namba yako ya cm inbox tutatue tatizo.
 
Mna uelewa finyu kupindukia, protokali za kuwakubalia wagonjwa kurudi makwao ndio zimebadilika. Hii ni baada ya utafiti mpya kudhibitisha kwamba baada ya siku kumi wagonjwa(symptomatic na assymptomatic pia) hawawezi wakaambukiza mtu yeyote virusi vya COVID-19.

Matokeo ya utafiti huo yanazingatiwa kote duniani, ila hakuna mgonjwa anayeruhusiwa kurudi nyumbani kabla ya siku 14, maanake inahitajika siku tatu zingine za ziada, za uchunguzi wa afya ya wagonjwa(sanasana wale 'symptomatic'). Hivi ni vitu ambavyo kwenu sio rahisi kuvielewa, maanake mna bahati sana kwasababu Tanzania hakuna Corona. [emoji1] Criteria for releasing COVID-19 patients from isolation
Hii ndio nilitegemea walau watu waseme, kwa sababu baada ya siku 11 mgonjwa hawezi kuambukiza mtu.
 
Back
Top Bottom