Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Panya road walipelekea kukawa na "wanaume wa Dar"
Tusubiri kuwasikia "wanaume wa Mbeya"
Tusubiri kuwasikia "wanaume wa Mbeya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania ni ngumu sana kama unavyofikiri kuwa na vikundi kama huko DRC au Somalia.Hawa ni vibaka tu kama vibaka wengine ila wanatakiwa kudhibitiwa na kumalizwa tu.Vikundi haramu vinaanza namna hiyo na ni kutokana na kutoridhishwa na hali,fuatilia Alis habab ilivyoanza utaelewa