Wakati Dar tunasumbuana na 'Panya road' huko Mbeya wameibuka 'Wakorea weusi'

Panya road walipelekea kukawa na "wanaume wa Dar"

Tusubiri kuwasikia "wanaume wa Mbeya"
 
Rais wa Mbeya ni nani? Na amepata vipi hayo mamlaka?
Ni Sugu na ndivyo anavyoitwa huko Mbeya wewe nenda huko utakutana na raia wenye rais wao.
 
Vikundi haramu vinaanza namna hiyo na ni kutokana na kutoridhishwa na hali,fuatilia Alis habab ilivyoanza utaelewa
 
Vikundi haramu vinaanza namna hiyo na ni kutokana na kutoridhishwa na hali,fuatilia Alis habab ilivyoanza utaelewa
Kwa Tanzania ni ngumu sana kama unavyofikiri kuwa na vikundi kama huko DRC au Somalia.Hawa ni vibaka tu kama vibaka wengine ila wanatakiwa kudhibitiwa na kumalizwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…