Wakati Diamond akiwasihi Watanzania kutosapoti show za Promota Victor, Kiba na MwanaFA busy na show

Wakati Diamond akiwasihi Watanzania kutosapoti show za Promota Victor, Kiba na MwanaFA busy na show

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Kweli adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenyewe, Kwanza walitapeliwa Mwana FA na AY. AY akaongea mpaka radioni kumtusi Victor Dj rule kuwa aliwatapeli show yao Birmingham then TID tukamsikia kwenye facebook hawa wachache then Diamond juzi kati alisema kwenye IG yake kutapeliwa na Victor. Kiba ndo usiseme yeye huwa anapigishwa sound tu lakini cha kushangaza Kiba na huyo huyo Mwana FA bado wanakuja kufanya show na huyu huyu Victor Dj Rule.

Haya inasemekana Kiba alizaa watoto kipindi anakuja kufanya show na huyu bwana victor sasa sijui yeye anachanganya biashara na urafiki maana watu wa karibu wanasema Kiba huwa halipwi ila yeye husamehe tu.

Kweli nimeamini wasanii asilimia kubwa upeo mdogo.
 
Attachments

  • Screenshot_2014-12-23-17-48-12.png
    Screenshot_2014-12-23-17-48-12.png
    426.5 KB · Views: 1,728
  • Screenshot_2014-12-23-18-06-15.jpg
    Screenshot_2014-12-23-18-06-15.jpg
    232.6 KB · Views: 1,634
Mbona sisi tunamsihi dai aache u... Lakini anaendelea?
 
So unataka diamond tu ndo aende kufanya show za nje na unataka watu wote wamsupport diamond peke yake???!! Duh kwa hoja kama yako ni ngumu wasanii watanzania kusonga mbele ikiwa mnataka diamond peke yake ndo athaminiwe me nadhani ni bora kumsupport msanii yeyote bila kujali anajina au hana as long as anafanya vizur tuache kulimbikiza nguvu kwa msanii mmoja coz ikitokea bahati mbaya kafanya vibaya au kafa basi na Tanzania itapotea kama yeye atakavyopotea. Tuige mataifa mengine yanayo support wasanii wao bila kubeba jina la msanii mmoja let's do this for Tanzania not for one person.
 
Tatizo sio Diamond hau wasanii wengine tatizo promota ndio mdhulumati
Victor dj rule...kwahiyo nashindwa elewa why kiba na mwana fa wanaendelea kufanya nao kazi
 
Tunaishi kwenye uso wa dunia chini ya miaka 70 acha uwoga kila kitu kinapita yuko wapi mzee wangu Marijani Rajabu,fanya ambalo lipo ili maisha yaendelee.
Mimi ni mfu mtarajiwa SIOGOPI.
 
Watu wengine wanaleta ushabiki hata pasipo na sababu ya kuleta ushabiki! Kwa watu wa UK, hakuna asiyemfahamu Victor; katapeli wasanii mara kibao tu... si mara moja wala mara mbili. Na hata list iliyotajwa na mleta mada kwamba walitapeliwa na Victor ni ndogo sana.... wasanii karibu wote wenye majina Bongo wameshatapeliwa na huyu jamaa including na baadhi ya wasanii kutoka +254!
Hata hivyo, mwaka huu Diamond hakutapeliwa na huyu jamaa coz' aligoma kupanda jukwaani hadi amaliziwe chakei!

Nadhani wasanii wangeanza kushituka hivi sasa... pale Dublin kuna pomota mmoja anaitwa Dj Ras Eddy, wangemgeukia huyu jamaa kwa show za UK.

Anyway, all in all, kauli ya Diamond haikuwa sheria bali alichofanya ni kutoa tahadhali kwa wasanii wenzake! Kama wengine wanaona poa tu; hivyo hivyo... then well and good for them... wana haki hata ya kufanya show hata bure na popote watakapo lakini hili halikuwa suala la kuleta ushabiki!
 
So unataka diamond tu ndo aende kufanya show za nje na unataka watu wote wamsupport diamond peke yake???!! Duh kwa hoja kama yako ni ngumu wasanii watanzania kusonga mbele ikiwa mnataka diamond peke yake ndo athaminiwe me nadhani ni bora kumsupport msanii yeyote bila kujali anajina au hana as long as anafanya vizur tuache kulimbikiza nguvu kwa msanii mmoja coz ikitokea bahati mbaya kafanya vibaya au kafa basi na Tanzania itapotea kama yeye atakavyopotea. Tuige mataifa mengine yanayo support wasanii wao bila kubeba jina la msanii mmoja let's do this for Tanzania not for one person.
Umemuelewa mleta mada? Yeye alichosema ni kwamba Diamond alitoa tahadhali kwa wasanii wa bongo kuwa makini na huyu Victor coz' ametapeli watu kibao tu... hata Diamond mwenyewe miezi michache iliyopita alitaka kutapeliwa hadi akagoma kupanda jukwaani! Issue sio kum-support Diamond bali kuacha kum-support huyu Victor kwa sababu cv yake kwenye u-promota sio mzuri! Wasanii wa bongo wana ufuasi mkubwa toka kwa audience ya East Africa iliyopo UK kwahiyo, Victor akikosa wasanii wa kufanya nao kazi, wapo promota wengine watajitokeza tu na ku-cover gap!

Anyway, sio issue lakini... JK alishasema; akili za mbayumbayu changanya na zako!
 
wacha waenjoy ndege na kutoa stress za Tz,cha muhimu wapewe msosi na warudishwe
Thank you Money Stunna... hiki ndicho hasa kilichopo! Wapo wengine wapo willing kupiga show hata ya bure provided unaingia ughaibuni... we've long way to go aisee!!
 
Kiba nenda kasalimie familia,nenda kafanye issue zako hata kama hulipwi,naamini wewe ni mtu mzima una uwezo wa kureason na kuamua!!
 
Tatizo sio Diamond hau wasanii wengine tatizo promota ndio mdhulumati
Victor dj rule...kwahiyo nashindwa elewa why kiba na mwana fa wanaendelea kufanya nao kazi

Wanataka kwenda ulaya.
 
Back
Top Bottom