Wakati filbert bayi anavunja rekodi za mbio, nyerere alivunja rekodi ya kuwaonea tz

Wakati filbert bayi anavunja rekodi za mbio, nyerere alivunja rekodi ya kuwaonea tz

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191
Kwa wapenda wa historia

Sote tunayakumbuka majina kama vile Filbert Bayi na Nyerere.

Isipokuwa tofauti zao kubwa ni hii

wakati Fibert Bayi anavunja rekodi za mbio na kuipatia sifa kem kem tz, nyerere alivunja rekodi ya kuwadhalilisha na kuwafanya wa tz wajinga kwa ndoto zake za azimio la arusha owekwa

video ya filbert bayi alipovunja rekodi ilowekwa 1957

https://www.youtube.com/watch?v=IvKX22TOCCA
 
unalinganisha vipi mfukuza upepo,ambaye haitaji kutumia akili NA Nyerere somi la kwanza bongo
 
Nyerere hakufanya makosa kuja na azimio la arusha kwani lililenga katika kuiweka nchi kwenye usawa na maadili ya viongozi na taifa kwa ujumla, hivyo kumlinganisha na bayi ni KACHUMBARI. Taaluma tofauti na mlinganyo wa nafasi tofauti.
 
nyerere somi la mwanzo duniani aloshindwa kutumia akili

alikuwa dikteta wa aina yake

jambo kubwa alokuwa hodari zaidi ni kutowa maspichi kila wiki,
 
azimio la arusha ndio chanzo cha umasikini tz na ndio maana kambona akamterekeza nyerere,

ikiwa unavohisi ujamaa haukuwa kosa poa Jamii walker,,,,,,, lakini chanzo cha rushwa na ujambazi tz ni umasikini uliosambazwa mitaani na nyerere

mwisho akawa anawacheza shere watz kwa kusema ........watanzania mali tunayo lakini tunaikalia
 
nyerere somi la mwanzo duniani aloshindwa kutumia akili

alikuwa dikteta wa aina yake

jambo kubwa alokuwa hodari zaidi ni kutowa maspichi kila wiki,
Nyerere alikuwa na akili sana,tatizo lake aliwapa kazi wazee walioshia madras ambao kiutendaji walikuwa zero
 
halafu watu walidhani alikuwa mganga wa kienyeji. si unasikia akitabiri sanaa,

kumbe baada ya kuwanyima raia fursa ya kuona tv, akisema ni starehe, yeye alikuwa akiuona halafu akisema anatabiri ...utasikia akisema natabiri kesho uk kutakuwa na maandnao .....tukimpigia makofi au ukisema natabiri kesho kenya kutakuwa na hiki au kile.....kumbe lijamaa kaon atv usiku................

ndio akili hizo au utapeli?
 
ngano za Mohamed Said jiangalie bint kaa mbali na huyo mchochezi mwezako Ritz amevimbiwa na ngano za huyo mzee
 
Last edited by a moderator:
na wewe mtani wangu Remote

inakufaa ujikoshe kutokana na vumbi za siasa lala hoi za 1980s
 
Tujiulize maswali Nyerere alikuwa na dhamira safi au hakuwa na dhamira safi? Alikuwa na uzalendo au hakuwa na uzalendo?
 
Tamaa ya kutawala akapga marufk watu wenye akili kwnye uongozi eti wasije wakampindua,na kuweka ma mbumbumbu madalakani
 
kyumana,

sijui nikujibu vipi lakini nadhani na wewe unajuwa wazi kwamba

MTI MZURI HUJILAKANA KWA MATUNDA YAKE

Sasa jiulize mwenyewe huo umasikini wako wewe mwenyewe na ukosefu wa elimu kwa watanzania walio wengi ni nani aliyesababisha?

si unajuwa tz ni nchi iliyojawa na wajinga yaani uneducated mass, kwani majoirty huishia darasa la 7 tu wakiwa na umri wa miaka 14 au 15....mtoto anamaliza shule lakini hawezi kuingia katika labour market na anaendelea kuwa mzigo mzito kwa wazazi wake.

si unaona mkuu
 
Nyerere hakufanya makosa kuja na azimio la arusha kwani lililenga katika kuiweka nchi kwenye usawa na maadili ya viongozi na taifa kwa ujumla, hivyo kumlinganisha na bayi ni KACHUMBARI. Taaluma tofauti na mlinganyo wa nafasi tofauti.

Ndivyo ulivyodanganywa? Tuulize tuliokuwepo.
 
nadhani kijana wetu amekuwa mesmerized by nyerere's endless speeches
 
nyerere somi la mwanzo duniani aloshindwa kutumia akili

alikuwa dikteta wa aina yake

jambo kubwa alokuwa hodari zaidi ni kutowa maspichi kila wiki,

Hiyo dini yako imekufundisha chuki mpaka umekuwa unawaza kwa kutumia masaburi. Hivi Nyerere angekuwa wa dini yako ungemchukia na kumkandia hivyo?????!!!!¿¿¿¡¡¡¡
 
labda dini yako imekufundisha kupenda watu for the sake of it

sasa nyerere kafanya nini cha kupigiwa mfano zaidi ya kuwatia watanzania umasikini wa milele,

u must be in a state of sleepwalking, its about time to wake up ...freee urself from mind control za dini yako na za nyerere
 
kuna kila dalili kuwa some extrimist wata mis use jukwaa hili kwa kutaka kurudisha agenda zao thru back door.watu bado wana hasira na yericko.shame on you.!mods mmefanya hekima sana kufunga ile thread.
 
nyerere ni binadam na hakua nabii hivyo basi sioni vibaya kuyajua madhambi na mapungufu yake. hakua mtakatifu.
 
kuna kila dalili kuwa some extrimist wata mis use jukwaa hili kwa kutaka kurudisha agenda zao thru back door.watu bado wana hasira na yericko.shame on you.!mods mmefanya hekima sana kufunga ile thread.

hii inaweza kuitwa old fashioned love him by all means style, leo tuko huru kusema ukweli kama ulivo, ikiwa wewe unahisi vyengine sawa, hiyo pia ni sehemu ya uhuru wa kueleza maoni bila kuogopa waliokuwa wakitisha watu zamani

uwe huru Kadoda11
 
Back
Top Bottom