Nyerere alikuwa na akili sana,tatizo lake aliwapa kazi wazee walioshia madras ambao kiutendaji walikuwa zeronyerere somi la mwanzo duniani aloshindwa kutumia akili
alikuwa dikteta wa aina yake
jambo kubwa alokuwa hodari zaidi ni kutowa maspichi kila wiki,
halafu watu walidhani alikuwa mganga wa kienyeji. si unasikia akitabiri sanaa,
kumbe baada ya kuwanyima raia fursa ya kuona tv, akisema ni starehe, yeye alikuwa akiuona halafu akisema anatabiri ...utasikia akisema natabiri kesho uk kutakuwa na maandnao .....tukimpigia makofi au ukisema natabiri kesho kenya kutakuwa na hiki au kile.....kumbe lijamaa kaon atv usiku................
ndio akili hizo au utapeli?
Nyerere hakufanya makosa kuja na azimio la arusha kwani lililenga katika kuiweka nchi kwenye usawa na maadili ya viongozi na taifa kwa ujumla, hivyo kumlinganisha na bayi ni KACHUMBARI. Taaluma tofauti na mlinganyo wa nafasi tofauti.
nyerere somi la mwanzo duniani aloshindwa kutumia akili
alikuwa dikteta wa aina yake
jambo kubwa alokuwa hodari zaidi ni kutowa maspichi kila wiki,
kuna kila dalili kuwa some extrimist wata mis use jukwaa hili kwa kutaka kurudisha agenda zao thru back door.watu bado wana hasira na yericko.shame on you.!mods mmefanya hekima sana kufunga ile thread.