Wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya?

Wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya?

hata kama hakuna cha kubandika unabandika tu...........................kwa wanawake yawezekana ni sawa tu lakini kwa kidume lazima awe mwangalifu sana..............................sirachi 36:21
huu ndio mtihani nilionao sasa ..
 
wapenzi wa mmu,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze kuniondolea upweke?naamini tutashare experience zetu na from there i will get something,mbarikiwe
mkuu tunalie on the same plane na mimi nafikiri ntapata mawazo mazuri hapa maana na kashida kama kako
ubarikiwe pia
 
Back
Top Bottom