Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

Ndiooooooooo
 
Wakati ukiweza kifikiri kwa kichwa cha juu zaidi kuliko cha chini au moyo.
 
Hilo ndilo kosa la watu wengi wanakuaga hawapendi bali hutamani na matamanio yao yakiisha huanza kuleta tabu kwa waenza wao.so be careful in your relation wenda ulitamaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…