Wakati Gaza wanaondoka kimya kimya Hezbollah nao watimkia Amerika-kusini

Wakati Gaza wanaondoka kimya kimya Hezbollah nao watimkia Amerika-kusini

Mngekuwa na Mungu mungetapeliwa kama watoto na maigizo FAKE ya uponyaji !!

kisha mlivo kichefuchefu mnasifia yesuuuuu ndio kafanya muugiza kutoka apo mnatapeliwa tena pesa ya Sadaka !!!!

Wapi umeona Waislam wana ujinga kufanana na wenu????
 
Mamia ya makamanda wa Hezbollah walikimbia Lebanon kuelekea Amerika Kusini

Ripoti za Saudia zinaonyesha kuwa Hezbollah imewaagiza makamanda wake wa uwanjani kuondoka nchini Lebanon kwa hofu kwamba wanaweza kufuatwa ikiwa miundombinu ya kijeshi ya shirika hilo itavunjwa. Rais wa Lebanon Joseph Aoun alitangaza kuwa mwaka 2025 utakuwa mwaka ambapo silaha zote nchini humo zimewekwa chini ya udhibiti wa serikali pekee. Nchi zinazochukua makazi hayo ni: Brazili, Colombia, Venezuela, na Ekuador.

Ripoti hiyo inakuja huku kukiwa na mijadala inayoongezeka nchini Lebanon kuhusiana na uwezekano wa kupokonywa silaha kwa kundi la kigaidi la Kishia, kufuatia kushindwa katika vita na Israel. Kulingana na chanzo, makamanda 200 tayari wamefika Amerika Kusini, na wengine wanatarajiwa kuondoka Lebanon kwa wakati unaofaa.

Chanzo cha kidiplomasia kilisema Hezbollah iliwaamuru makamanda wake kuondoka Lebanon wakihofia kwamba wanaweza kulengwa ikiwa miundombinu ya kijeshi ya shirika hilo itavunjwa. Inafaa kuashiria kuwa, Hizbullah tayari ina mtandao wa kigaidi ulioanzishwa huko Amerika Kusini, na huko Lebanon, inadumisha nguvu ya makumi ya maelfu ya magaidi.

Siku ya Jumanne, Rais wa Lebanon Joseph Aoun alisema kuwa mwaka 2025 utaashiria uwekaji wa kipekee wa silaha katika mikono ya serikali. Amesisitiza kuwa upokonyaji silaha wa Hezbollah utafikiwa "kwa njia ya mazungumzo" na kusisitiza juhudi zake za kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kulingana na Aoun, mawasiliano na shirika ni "mazuri na ya moja kwa moja," na "matokeo yanaonekana wazi."

Pia alibainisha kuwa jeshi la Lebanon linaziba mahandaki ya vibaka hao, kunyang'anya na kuharibu maghala ya silaha ya Hizbullah. Aoun alisema zaidi kwamba kwa maoni yake, kuunganisha Hezbollah katika jeshi la Lebanon kunapaswa kufuata mtindo uliotumiwa na wanamgambo katika miaka ya 1990, ambapo watu binafsi walichukuliwa tofauti.

Mhusika mkuu wa Hezbollah Mahmoud Qamati alijibu katika hotuba yake kwa wito wa serikali wa kulipokonya silaha kundi hilo la kigaidi. "Tumejitolea kwa silaha zetu, tumejitolea kwa upinzani wetu," Qamati alisema. Pia alirejelea kauli ya Katibu Mkuu wa Hezbollah aliyeuawa Hassan Nasrallah: "Yeyote atakayenyoosha mkono kugusa silaha zetu - mkono wake utakatwa.".

Hezbollah sasa hivi wako hoi bin taabani leo hii akifufuka Ritz sijui atakuja kuwadanganya vipi watu maana alikuwa anawaramba miguu sana magaidi hawa!!!

View attachment 3307662View attachment 3307663
Kobazi wamenuna,ila mbona hao magaidi wa hizbulaa wasiende irani mbona wana kimbilia kwa makafri.?
 
IGIZO la uponyaji FAKE linafanyika mchana kweupe na Amgundui vipi mnaweza kujua kuusu Mungu !!!?
 
Kobazi wamenuna,ila mbona hao magaidi wa hizbulaa wasiende irani mbona wana kimbilia kwa makafri.?
Ushaidi gani kwamba wanaondoka au kama alivodai uyo mwenzio mnadanganyana kitoto kama kwenye Upanyaji wenu Fake!!!!
 
Ushaidi gani kwamba wanaondoka au kama alivodai uyo mwenzio mnadanganyana kitoto kama kwenye Upanyaji wenu Fake!!!!
Njoo ufanyiwe maombi,ule keki na kukanyaga mafuta ya upako,ili majini yalokukaa kichwani mwako ykuyoke..Kwa Yesu kuna Raha.
 
Vita na kati ya Israel na Hizbullah Hezbollah alikuwa anapiga military Camp !!!

lkn ao jamaaa zenu baada kuona Moto umedhidi Shabaaa kubwa kambi zinateketea !!!

wakaamua Vita kubomoa majenga ya raia Apartment leo mnawasifia Wameshinda Vita !!!

Mbinu ya kwanza Israel ililenga viongozi wa Hezbollah wakizani ndio itafanikisha kuwavuruga Hezbollah lkn Vijana wakawa wapo kama akuna viongozi waliokufa !!!!

kambi za Jesh popote zilipo iwe Telaviv Haifa zinasagwa!! !!!

Israel wakaja na kubomoa majengo ya raia leo mnawasifia eti wananguvu IDF nyinyi mungu utatu shida sana.!!!!
 
Njoo ufanyiwe maombi,ule keki na kukanyaga mafuta ya upako,ili majini yalokukaa kichwani mwako ykuyoke..Kwa Yesu kuna Raha.
Mizombi ndio itakayokuja mnajitia utakatifu wa machoni mwa watu !!!

Wauni tupu maigizo tupu mm unidanganyi na mikelele na Igizo !!!
.
pesa yangu nitatoa sio kwa wauni kama ao wapiga mikelele waongo na matapeli kupitia Yesuuuu!!!!

siomini Uyesu lkn kuchangia pesa naweza changia Sababu ya uduma watoazo kwa wananchi masikini !!!!

wengi tu Tumezaliwa kwenye Hospital za RC

lkn wauni wengine apana !!!

Sababu izi Uwezi kusikia kiongozi yoyote wa RC anaishi kifahari sana Sababu pesa zinazopatikana kwao zinamatumizi endelevu !!!

lkn uku kwa Vichuguu vile pesa azina mpangalio wamatumizi ndio Utaona wenye Vichuguu vyao wanatumia pesa kifahari !!!!

wengine na ndege wanamiliki Majumba migari ya kifahari mikononi Shingon Dhahabu kama zote !!!!

Sababu pesa mnazoochangiwa azina cha kufanya zipo tu !!!

kinachosikitisha kondoooo wengi wanaowachangia wamezaliwa kwenye Hospital za RC wengine na kusoma pia Wameelemishwa na RC !!!

lkn wamekuwa sasa wanaenda kuchangia Wauni pesa zao. Badala ya kuchangia RC ili waendelee kuwaudumia zaid Watanzania wengi zaid !!!

kwa mwenye Akili Atachangia seem 3 tu 1 RC 2 WALUTHERI 3 SABADO pamoja mm siamin YESU lkn nikiona kunakuchangia Hospital CHUO mambo ya Jamii natoa pesa zangu !!!

kwa Waislam nachangia adi ujenzi wa misikiti Sababu ulipo msikiti kuna uduma kwenye jamiii upatikana mfano Maji na awachagui wa kuchoka maji yoyote atachota.!!!!

Awa wengine Akili yangu inapata kichefuchefu ata kuwafikilia kutoa ela nampa nani yann yani anifanyie Igizo +mikelele mm nitoe pesa yangu !!!!

pesa yangu akatumie matumizi yake ni ya anasa + uzinifu kwa wake za watu..
 
Back
Top Bottom