Wakati Gaza wanaondoka kimya kimya Hezbollah nao watimkia Amerika-kusini

Mngekuwa na Mungu mungetapeliwa kama watoto na maigizo FAKE ya uponyaji !!

kisha mlivo kichefuchefu mnasifia yesuuuuu ndio kafanya muugiza kutoka apo mnatapeliwa tena pesa ya Sadaka !!!!

Wapi umeona Waislam wana ujinga kufanana na wenu????
 
Kobazi wamenuna,ila mbona hao magaidi wa hizbulaa wasiende irani mbona wana kimbilia kwa makafri.?
 
IGIZO la uponyaji FAKE linafanyika mchana kweupe na Amgundui vipi mnaweza kujua kuusu Mungu !!!?
 
Kobazi wamenuna,ila mbona hao magaidi wa hizbulaa wasiende irani mbona wana kimbilia kwa makafri.?
Ushaidi gani kwamba wanaondoka au kama alivodai uyo mwenzio mnadanganyana kitoto kama kwenye Upanyaji wenu Fake!!!!
 
Ushaidi gani kwamba wanaondoka au kama alivodai uyo mwenzio mnadanganyana kitoto kama kwenye Upanyaji wenu Fake!!!!
Njoo ufanyiwe maombi,ule keki na kukanyaga mafuta ya upako,ili majini yalokukaa kichwani mwako ykuyoke..Kwa Yesu kuna Raha.
 
Vita na kati ya Israel na Hizbullah Hezbollah alikuwa anapiga military Camp !!!

lkn ao jamaaa zenu baada kuona Moto umedhidi Shabaaa kubwa kambi zinateketea !!!

wakaamua Vita kubomoa majenga ya raia Apartment leo mnawasifia Wameshinda Vita !!!

Mbinu ya kwanza Israel ililenga viongozi wa Hezbollah wakizani ndio itafanikisha kuwavuruga Hezbollah lkn Vijana wakawa wapo kama akuna viongozi waliokufa !!!!

kambi za Jesh popote zilipo iwe Telaviv Haifa zinasagwa!! !!!

Israel wakaja na kubomoa majengo ya raia leo mnawasifia eti wananguvu IDF nyinyi mungu utatu shida sana.!!!!
 
Njoo ufanyiwe maombi,ule keki na kukanyaga mafuta ya upako,ili majini yalokukaa kichwani mwako ykuyoke..Kwa Yesu kuna Raha.
Mizombi ndio itakayokuja mnajitia utakatifu wa machoni mwa watu !!!

Wauni tupu maigizo tupu mm unidanganyi na mikelele na Igizo !!!
.
pesa yangu nitatoa sio kwa wauni kama ao wapiga mikelele waongo na matapeli kupitia Yesuuuu!!!!

siomini Uyesu lkn kuchangia pesa naweza changia Sababu ya uduma watoazo kwa wananchi masikini !!!!

wengi tu Tumezaliwa kwenye Hospital za RC

lkn wauni wengine apana !!!

Sababu izi Uwezi kusikia kiongozi yoyote wa RC anaishi kifahari sana Sababu pesa zinazopatikana kwao zinamatumizi endelevu !!!

lkn uku kwa Vichuguu vile pesa azina mpangalio wamatumizi ndio Utaona wenye Vichuguu vyao wanatumia pesa kifahari !!!!

wengine na ndege wanamiliki Majumba migari ya kifahari mikononi Shingon Dhahabu kama zote !!!!

Sababu pesa mnazoochangiwa azina cha kufanya zipo tu !!!

kinachosikitisha kondoooo wengi wanaowachangia wamezaliwa kwenye Hospital za RC wengine na kusoma pia Wameelemishwa na RC !!!

lkn wamekuwa sasa wanaenda kuchangia Wauni pesa zao. Badala ya kuchangia RC ili waendelee kuwaudumia zaid Watanzania wengi zaid !!!

kwa mwenye Akili Atachangia seem 3 tu 1 RC 2 WALUTHERI 3 SABADO pamoja mm siamin YESU lkn nikiona kunakuchangia Hospital CHUO mambo ya Jamii natoa pesa zangu !!!

kwa Waislam nachangia adi ujenzi wa misikiti Sababu ulipo msikiti kuna uduma kwenye jamiii upatikana mfano Maji na awachagui wa kuchoka maji yoyote atachota.!!!!

Awa wengine Akili yangu inapata kichefuchefu ata kuwafikilia kutoa ela nampa nani yann yani anifanyie Igizo +mikelele mm nitoe pesa yangu !!!!

pesa yangu akatumie matumizi yake ni ya anasa + uzinifu kwa wake za watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…