Wakati kiingirio kikiwa laki moja na nusu,diamond avunja rekodi arusha

aliyeweka hii post,ni jamaa ambae ana control mambo yote ya diamond mtandaoni(kaajiriwa),ndo anae endesha mtandao wa thisisdiamond.com na ndo admin wa ac za diamond kwenye facebook na twitter,baada ya mda kdogo nawaletea jna lake,naona kakazana na promo alaf hatak kujiweka waz,akatuletea maandsh ya uongo et n taarfa ya ikulu..

JF bana.. kwaiyo jamaa ni katibu mwenezi wa dayamond?? LOL

Japo sio fan wa diamond, dogo anafanya vizuri..
 
Uko sahihi kabisa dogo anajiita BESTIZZO De No. 1 Blogger in TZ .....(Jina lake Halisi ni.......)

aliyeweka hii post,ni jamaa ambae ana control mambo yote ya diamond mtandaoni(kaajiriwa),ndo anae endesha mtandao wa thisisdiamond.com na ndo admin wa ac za diamond kwenye facebook na twitter,baada ya mda kdogo nawaletea jna lake,naona kakazana na promo alaf hatak kujiweka waz,akatuletea maandsh ya uongo et n taarfa ya ikulu..
 
aliyeweka hii post,ni jamaa ambae ana control mambo yote ya diamond mtandaoni(kaajiriwa),ndo anae endesha mtandao wa thisisdiamond.com na ndo admin wa ac za diamond kwenye facebook na twitter,baada ya mda kdogo nawaletea jna lake,naona kakazana na promo alaf hatak kujiweka waz,akatuletea maandsh ya uongo et n taarfa ya ikulu..

anajiita bestizo
 
Learn to spell first..then u can get a hardon about Diamond's money....
 
Back
Top Bottom