Wakati kwako vyuma vimekaza, tayari mwezako ashanunua hii ya mwaka 2017

avalanche

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
227
Reaction score
234


Huyu mzee nadhani anaishi mbezi beach au maeneo ya huko along bagamoyo road. Sasa akina siye tuendelee kujificha chini ya ujinga wa Magu kabana wakati wenzio wanamiliki vyuma vya maana kama hiki cha mwaka 2017 Range Rover Velar, na kaitia private plate number.
 
tambua kuwa kuna matabaka mkuu, wa juu na wachini hvyo mambo yanapokuwa mabaya aliyeko juu kulalamika kwake hakuwez fanana a aliyeko chni hvyo hata maumivu hutofautiana.. Vyuma si kwamba vimekaza hapana, vmekaza kwa wapga madili ambao unufaikaji wa pesa zao zilikua znamgusa hadi mlala hoi..
 
Ya 2018 imetoka kuna wengine wana miliki na mimi nasubiri ya 68 plate September
Hiyo imeishapitwa na wakati
Subiri uione Velar first edition
 
Ama kweli nchi zetu bado masikini sana, Hivi mtu kununua gari inakuwa mjadala wa kitaifa??

Au ni ushamba wa mleta thread kushangaa magari?

Hebu nenda kashangae Bakhresa family wanaomiliki gari za kifahari zikiwemo Bughatt, Ferrari, G wagon, Brabus nk.
 
Ukiweza kuielewa hii picha, you will keep your mouth shut! You are talking about the 1% which are on the top ignoring the 99% which are at the bottom.

 
Kwahio mtu mmoja kununua RR ndio inabadili picha yote mtazamo wa kiuchumi wa nchi yetu?
 
Haihitaji vipimo kupima uwezo Wa kufikiria Wa mtoa mada.
 


Kwani cha ajabu nini? Hiyo si kama Prado tu? Ukinunua Prado na hiyo unaweza kuinunua pia hakuna tofauti ya bei kihivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…