Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
kwa mimi ninavyofaamu rr velar ni base version ya evoque .......so yeah uyo ni tajiri kwetu maskini kwao ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua namkubali sana huyo jamaa kipindi hicho. Daaah!!! Sijui na mimi nilikua bado fala.Maneno ya kilaza Msando Alberto...Hahahaaa
Yule jamaa mshamba sana!I remember those days alizifumaga!
Nilikua namkubali sana huyo jamaa kipindi hicho. Daaah!!! Sijui na mimi nilikua bado fala.
hahahahah lazima na wewe ni wa kwetukwa hiyo hii inamsaidiaje mtanzania wa kawaida anaeishi kule kilema pofo?
Anatakiwa aache kulialia vyuma vimekaza na atafute grisi.kwa hiyo hii inamsaidiaje mtanzania wa kawaida anaeishi kule kilema pofo?
Ushuz wa kwenye range ni tofaut na wa mwendokasiAkishanunua hiyo ushuzi wake unaacha kunuka? Au sijakuelewa?
Hahahahah..., kweli aisee...Ushuz wa kwenye range ni tofaut na wa mwendokasi
Ukiona Velar plate numbered Bujibuji usishangae sana. Haya ndio maisha ninayoishi![]()
Huyu mzee nadhani anaishi mbezi beach au maeneo ya huko along bagamoyo road. Sasa akina siye tuendelee kujificha chini ya ujinga wa Magu kabana wakati wenzio wanamiliki vyuma vya maana kama hiki cha mwaka 2017 Range Rover Velar, na kaitia private plate number.
Kwani cha ajabu nini? Hiyo si kama Prado tu? Ukinunua Prado na hiyo unaweza kuinunua pia hakuna tofauti ya bei kihivyo!