WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELE LEO NCHINI OFISI ZOTE ZA CHADEMA TANZANIA ZIMEFUNGULIWA ZIPO WAZI.

WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELE LEO NCHINI OFISI ZOTE ZA CHADEMA TANZANIA ZIMEFUNGULIWA ZIPO WAZI.

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji kumetokea nini ghafla hata leo tarehe 8/1/2022 kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom