Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
392
Reaction score
949
Sikutegemea katika hali Kama hii ya janga la Corona wale wenye Unafuu kwenye jamii yetu kufanya Biashara katika taharuki Kama hii. Nasikia hiki kitakasa Mikono Cha Mo Dewji anaviuza, sina shada naye kwa kuwa ni mfanyabiashara ameona hii ni Fursa. Matajiri wenzake wanafanyaje duniani?

FB_IMG_1587829410958.jpg

1. Jack Ma mwanzilishi wa Alibaba yeye kachangia mabilioni ya Shilingi kwa nchi yake ya China kupambana na Corona. Kavuka Mipaka kachangia hadi waafrika kwa mfano katoa ventilator 500, Nguo rasmi za wauguzi (Suits and face shields) 200,000, thermometer 2,000, Gloves 500,000 nk. Hivi katoa bure kabisa....

2.Bill Gates yeye na Mke wake Melinda wametoa offer ya Kujenga kituo Cha kufanya tafiti ya Chanjo ya Corona pale Marekani. Pia katoa mabilioni kadhaa kwa nchi yake kupambana na Corona. Hivi katoa Bure kabisa ....

3.Strive Masiyiwa huyu ni tajiri wa Zimbabwe yeye katoa Offer kwa wafanyakazi wa afya kawaongezea Posho US Dollar 200 Hadi 400 kwenye mihsahara yao kwa Miezi sita. Kawanunulia pia Nguo, amewapa Usafiri nk. Hivi katoa bure kabisa.

4. Mark Zuckerberg huyu ni mmiliki wa Facebook yeye katoa 231,440,000,000 kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Katoa pia mabilioni kibao kwa WHO na US center for Disease.

5.Jim Ratcliffe huyu ni bilionea wa Uingereza anamiliki Kiwanda cha Kemikali, katoa Senitiser kwa hospital zote bure UK.

6. Aliko Dangote ametoa N 200 Milioni kupambana na Usambaaji wa Corona Nigeria sawa na Shilingi Bilioni Moja Plus. Hizi naye katoa bure kabisa ....

7. Jeff Bezos huyu ni mmiliki wa Amazon (E- Commarce) yeye katoa US dollar 100 Milioni kwa ajili ya wanaopoteza Ajira.

List ni kubwa Sana ya waliojitoa Bure.

Hapo Kenya mfuatilieni Governor wa Mombasa Joho anachofanya pitia hii link kuona Instagram yake vitu alivyofanya:-

Hassan Ali Joho (@joho_001) • Instagram photos and videos

Anagawa hadi Chakula bure kabisa kwa wakenya wa Mombasa. Ameshirikiana na private Sector kutengeneza Centre ya Waathirika wa CORONA.

Mfuatilieni Mzee wa Mishe Sonko yeye anagawa Chakula Kenya bure kabisa na ameenda mbali anawagawia watu hadi Pombe.

Hapa Kwetu matajiri wapo wapi? Mo kashaamua kutuuzia vitakasa Mikono, siamini kwa jinsi tulivyomtafuta alivyopotea. Hakupaswa kuona Kama hii Ni fursa.

Wasanii wetu ambao ni Celebrate wapo wapi wanashindwa kujiunga kutoa hata kitu kwa jamii?

Wanasiasa wetu wapo wapi? Hapo Bungeni mnashindwa kujiunga hata mshahara au Posho ya Kikao kimoja mtoe?

Hawa ni watu wenye unafuu kwenye jamii yetu kwa nn msifanye kitu? Wafanyabiashara wadogowadogo wamepoteana, wafanyakazi sector binafsi baadhi wamepoteana, watoto yatima kwenye Kambi zao wamepoteana, watumishi wetu wa Afya tuwanunulie hata Mask za viwango jamani, ni wakati wa kurudisha kidogo kwa jamii.

Tusiiachie Serikali tu.
 
Sekta binafsi ni sehemu muhimu katika ujenzi wa nchi. Hapa kwetu, wameonekana ni maadui wa Serikali. Na wengine wamepitia magumu mengi awamu hii, baadhi hadi kufikia kiwango cha kufilisiwa. Matajiri waliofanyiwa hayo yote, usitegemee kushirikiana vizuri na Serikali. Hata wakitoa, ni kwa kujiosha tu lakini mioyoni mwao wamejaa simanzi. Tusiwalaumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unamshangaa Mfanyabiashara Mohamed Dewji kuuza vitakasa mikono, je serikali inayochukua pesa yako kama kodi imegawa bure vitakasa mikono vingapi kwa raia wake?!

Hivi si juzi tu hapa nimezungumzia umuhimu wa Magu kuwa na emergency fiscal na monetary policies zitakazosaidia kupambana na COVID-19?!

Sasa kama Dewji ametengeneza vitakasa mikono kwa gharama za kampuni kwa 100%... no tax relief, no subsidies, no loans guarantee, no nothing bado unatarajia vitakasa kama hivyo agawe bure as if METL ni Charity Home?!

Kama biashara zingine haziendi kutokana na COVID-19, unatarajia biashara yenye uwezekano wa kutembea aigeuze kuwa "saidia maskini baba" wakati serikali yenyewe imegoma kufanya yale yatakayopunguza mapato yake?!

Ule Msemo wa wana-Lumumba kwa Mabeberu kwamba kila mmoja apambane na hali yake, ndo hiyo sasa!!

Na Rais keshasema "Hapa Kazi Tu", na "Hapa Kazi Tu" yenyewe ndo hiyo sasa... Hapa Kazi Tu, ukitaka sadaka nenda kanisani au msikitini!
 
Sikutegemea katika hali Kama hii ya janga la Corona wale wenye Unafuu kwenye jamii yetu kufanya Biashara katika taharuki Kama hii. Nasikia hiki kitakasa Mikono Cha Mo Dewji anaviuza, sina shada naye kwa kuwa ni mfanyabiashara ameona hii ni Fursa. Matajiri wenzake wanafanyaje duniani?

View attachment 1430272

1. Jack Ma mwanzilishi wa Alibaba yeye kachangia mabilioni ya Shilingi kwa nchi yake ya China kupambana na Corona. Kavuka Mipaka kachangia hadi waafrika kwa mfano katoa ventilator 500, Nguo rasmi za wauguzi (Suits and face shields) 200,000, thermometer 2,000, Gloves 500,000 nk. Hivi katoa bure kabisa....

2.Bill Gates yeye na Mke wake Melinda wametoa offer ya Kujenga kituo Cha kufanya tafiti ya Chanjo ya Corona pale Marekani. Pia katoa mabilioni kadhaa kwa nchi yake kupambana na Corona. Hivi katoa Bure kabisa ....

3.Strive Masiyiwa huyu ni tajiri wa Zimbabwe yeye katoa Offer kwa wafanyakazi wa afya kawaongezea Posho US Dollar 200 Hadi 400 kwenye mihsahara yao kwa Miezi sita. Kawanunulia pia Nguo, amewapa Usafiri nk. Hivi katoa bure kabisa.

4. Mark Zuckerberg huyu ni mmiliki wa Facebook yeye katoa 231,440,000,000 kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Katoa pia mabilioni kibao kwa WHO na US center for Disease.

5.Jim Ratcliffe huyu ni bilionea wa Uingereza anamiliki Kiwanda cha Kemikali, katoa Senitiser kwa hospital zote bure UK.

6. Aliko Dangote ametoa N 200 Milioni kupambana na Usambaaji wa Corona Nigeria sawa na Shilingi Bilioni Moja Plus. Hizi naye katoa bure kabisa ....

7. Jeff Bezos huyu ni mmiliki wa Amazon (E- Commarce) yeye katoa US dollar 100 Milioni kwa ajili ya wanaopoteza Ajira.

List ni kubwa Sana ya waliojitoa Bure.

Hapo Kenya mfuatilieni Governor wa Mombasa Joho anachofanya pitia hii link kuona Instagram yake vitu alivyofanya:-

Hassan Ali Joho (@joho_001) • Instagram photos and videos

Anagawa hadi Chakula bure kabisa kwa wakenya wa Mombasa. Ameshirikiana na private Sector kutengeneza Centre ya Waathirika wa CORONA.

Mfuatilieni Mzee wa Mishe Sonko yeye anagawa Chakula Kenya bure kabisa na ameenda mbali anawagawia watu hadi Pombe.

Hapa Kwetu matajiri wapo wapi? Mo kashaamua kutuuzia vitakasa Mikono, siamini kwa jinsi tulivyomtafuta alivyopotea. Hakupaswa kuona Kama hii Ni fursa.

Wasanii wetu ambao ni Celebrate wapo wapi wanashindwa kujiunga kutoa hata kitu kwa jamii?

Wanasiasa wetu wapo wapi? Hapo Bungeni mnashindwa kujiunga hata mshahara au Posho ya Kikao kimoja mtoe?

Hawa ni watu wenye unafuu kwenye jamii yetu kwa nn msifanye kitu? Wafanyabiashara wadogowadogo wamepoteana, wafanyakazi sector binafsi baadhi wamepoteana, watoto yatima kwenye Kambi zao wamepoteana, watumishi wetu wa Afya tuwanunulie hata Mask za viwango jamani, ni wakati wa kurudisha kidogo kwa jamii.

Tusiiachie Serikali tu.
Aaaah jamani tafadhari muacheni asije kususa timu yetu.
 
Mke wangu leo amesaidia jamii fulani ya mkoa fulani barakoa 200,spraying sanitizer vichupa 100 vijarida vya elimu juu ya Covid 19.
Mungu atubariki sote tunajitolea kwa ajili ya wenzetu. Mimi hapa Russia sijitolei wala sisaidii yeyote na chochote.
 
Back
Top Bottom