Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

Sijawahi kuwaelewa wahindi hata kidogo labda kidogo waarabu, Nasema nikifika level fulani ya Juu nita deal nao hawa perpendicular regardless wameshika uchumi wa nchi au lah nitatafuta approach nzuri ya kuwashughulikia haswa katika njia ambayo haita athiri community mana wameajiri thousand of people, Nitahakikisha nanyanyua Domestic investors ili washike uchumi, wahindi ni washezi na wanafanya donation kwa mataifa yao kwa siri wakati hapa kwetu hata kujenga nyumba tu hawataki nasema no matter ni Raia wa hapa ila kwa vile wanajitia ukichaa kwa kutosahau original yao basi wanahitaji kushughulikiwa haswa haswa.
Huu ndio muda unaona potential ya billionaire wazawa kama The late Reginald Mengi
 
Sawa kabisa,ila serikali nayo iwe wazi namna wanavyotumia hizi fedha za misaada wanazopewa.
Mkuu hela ya msaada inatumika kama lengo lake kusaidia watu usidhani watu wanasaidia tu na kupotea hapana hata hao kina jack ma huwa wanatuma watu kufanya background check up kuangalia how serious authorities zimetumia izo misaada kama unaona pesa itatafunwa basi nunua tangible products kama sanitizer au masks then peleka sehemu penye need,
 
Sikutegemea katika hali Kama hii ya janga la Corona wale wenye Unafuu kwenye jamii yetu kufanya Biashara katika taharuki Kama hii. Nasikia hiki kitakasa Mikono Cha Mo Dewji anaviuza, sina shada naye kwa kuwa ni mfanyabiashara ameona hii ni Fursa. Matajiri wenzake wanafanyaje duniani?

View attachment 1430272

1. Jack Ma mwanzilishi wa Alibaba yeye kachangia mabilioni ya Shilingi kwa nchi yake ya China kupambana na Corona. Kavuka Mipaka kachangia hadi waafrika kwa mfano katoa ventilator 500, Nguo rasmi za wauguzi (Suits and face shields) 200,000, thermometer 2,000, Gloves 500,000 nk. Hivi katoa bure kabisa....

2.Bill Gates yeye na Mke wake Melinda wametoa offer ya Kujenga kituo Cha kufanya tafiti ya Chanjo ya Corona pale Marekani. Pia katoa mabilioni kadhaa kwa nchi yake kupambana na Corona. Hivi katoa Bure kabisa ....

3.Strive Masiyiwa huyu ni tajiri wa Zimbabwe yeye katoa Offer kwa wafanyakazi wa afya kawaongezea Posho US Dollar 200 Hadi 400 kwenye mihsahara yao kwa Miezi sita. Kawanunulia pia Nguo, amewapa Usafiri nk. Hivi katoa bure kabisa.

4. Mark Zuckerberg huyu ni mmiliki wa Facebook yeye katoa 231,440,000,000 kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Katoa pia mabilioni kibao kwa WHO na US center for Disease.

5.Jim Ratcliffe huyu ni bilionea wa Uingereza anamiliki Kiwanda cha Kemikali, katoa Senitiser kwa hospital zote bure UK.

6. Aliko Dangote ametoa N 200 Milioni kupambana na Usambaaji wa Corona Nigeria sawa na Shilingi Bilioni Moja Plus. Hizi naye katoa bure kabisa ....

7. Jeff Bezos huyu ni mmiliki wa Amazon (E- Commarce) yeye katoa US dollar 100 Milioni kwa ajili ya wanaopoteza Ajira.

List ni kubwa Sana ya waliojitoa Bure.

Hapo Kenya mfuatilieni Governor wa Mombasa Joho anachofanya pitia hii link kuona Instagram yake vitu alivyofanya:-

Hassan Ali Joho (@joho_001) • Instagram photos and videos

Anagawa hadi Chakula bure kabisa kwa wakenya wa Mombasa. Ameshirikiana na private Sector kutengeneza Centre ya Waathirika wa CORONA.

Mfuatilieni Mzee wa Mishe Sonko yeye anagawa Chakula Kenya bure kabisa na ameenda mbali anawagawia watu hadi Pombe.

Hapa Kwetu matajiri wapo wapi? Mo kashaamua kutuuzia vitakasa Mikono, siamini kwa jinsi tulivyomtafuta alivyopotea. Hakupaswa kuona Kama hii Ni fursa.

Wasanii wetu ambao ni Celebrate wapo wapi wanashindwa kujiunga kutoa hata kitu kwa jamii?

Wanasiasa wetu wapo wapi? Hapo Bungeni mnashindwa kujiunga hata mshahara au Posho ya Kikao kimoja mtoe?

Hawa ni watu wenye unafuu kwenye jamii yetu kwa nn msifanye kitu? Wafanyabiashara wadogowadogo wamepoteana, wafanyakazi sector binafsi baadhi wamepoteana, watoto yatima kwenye Kambi zao wamepoteana, watumishi wetu wa Afya tuwanunulie hata Mask za viwango jamani, ni wakati wa kurudisha kidogo kwa jamii.

Tusiiachie Serikali tu.
Wafanyabiashara waliofanikiwa mliwaita wapigaji, mafisadi, wengine mmewaua na wengine mmewateka bahati nzuri mkaonekana ikabidi mpotezee kiaina, awamu hii hamuwataki wafanyabiashara ndo maana mnajitahidi kuua secta binafsi ili wasitokee wafanya biashara wenye ukwasi kuliko mkulu,

Sasa kwa hali hii na uchumi huu mbovu mfanyabiashara gani atatoa msaada?

Labda rostam naye amelegezewa vikwazo vya biashara pia anatumika kumsadia mtawala kujiimarisha zaidi
 
Hakuna tajiri anaye ishi kwao huyo mhindi ni msimaizi wa mirathi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Forbes nao hata huwa sielewi research zao unajua ili publicity tu ya kuwa dogo ni First billionaire nchini tayari inamfanya azidi kuvuta mpunga wakati in real sense bwana mdogo ni kama CEO wa Mirathi ya familia
 
Harafu unakuta dogo ana wajaza vijana maneno mara oh nilianza na mtaji wa laki blah blah blah
Forbes nao hata huwa sielewi research zao unajua ili publicity tu ya kuwa dogo ni First billionaire nchini tayari inamfanya azidi kuvuta mpunga wakati in real sense bwana mdogo ni kama CEO wa Mirathi ya familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutegemea katika hali Kama hii ya janga la Corona wale wenye Unafuu kwenye jamii yetu kufanya Biashara katika taharuki Kama hii. Nasikia hiki kitakasa Mikono Cha Mo Dewji anaviuza, sina shada naye kwa kuwa ni mfanyabiashara ameona hii ni Fursa. Matajiri wenzake wanafanyaje duniani?

View attachment 1430272

1. Jack Ma mwanzilishi wa Alibaba yeye kachangia mabilioni ya Shilingi kwa nchi yake ya China kupambana na Corona. Kavuka Mipaka kachangia hadi waafrika kwa mfano katoa ventilator 500, Nguo rasmi za wauguzi (Suits and face shields) 200,000, thermometer 2,000, Gloves 500,000 nk. Hivi katoa bure kabisa....

2.Bill Gates yeye na Mke wake Melinda wametoa offer ya Kujenga kituo Cha kufanya tafiti ya Chanjo ya Corona pale Marekani. Pia katoa mabilioni kadhaa kwa nchi yake kupambana na Corona. Hivi katoa Bure kabisa ....

3.Strive Masiyiwa huyu ni tajiri wa Zimbabwe yeye katoa Offer kwa wafanyakazi wa afya kawaongezea Posho US Dollar 200 Hadi 400 kwenye mihsahara yao kwa Miezi sita. Kawanunulia pia Nguo, amewapa Usafiri nk. Hivi katoa bure kabisa.

4. Mark Zuckerberg huyu ni mmiliki wa Facebook yeye katoa 231,440,000,000 kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Katoa pia mabilioni kibao kwa WHO na US center for Disease.

5.Jim Ratcliffe huyu ni bilionea wa Uingereza anamiliki Kiwanda cha Kemikali, katoa Senitiser kwa hospital zote bure UK.

6. Aliko Dangote ametoa N 200 Milioni kupambana na Usambaaji wa Corona Nigeria sawa na Shilingi Bilioni Moja Plus. Hizi naye katoa bure kabisa ....

7. Jeff Bezos huyu ni mmiliki wa Amazon (E- Commarce) yeye katoa US dollar 100 Milioni kwa ajili ya wanaopoteza Ajira.

List ni kubwa Sana ya waliojitoa Bure.

Hapo Kenya mfuatilieni Governor wa Mombasa Joho anachofanya pitia hii link kuona Instagram yake vitu alivyofanya:-

Hassan Ali Joho (@joho_001) • Instagram photos and videos

Anagawa hadi Chakula bure kabisa kwa wakenya wa Mombasa. Ameshirikiana na private Sector kutengeneza Centre ya Waathirika wa CORONA.

Mfuatilieni Mzee wa Mishe Sonko yeye anagawa Chakula Kenya bure kabisa na ameenda mbali anawagawia watu hadi Pombe.

Hapa Kwetu matajiri wapo wapi? Mo kashaamua kutuuzia vitakasa Mikono, siamini kwa jinsi tulivyomtafuta alivyopotea. Hakupaswa kuona Kama hii Ni fursa.

Wasanii wetu ambao ni Celebrate wapo wapi wanashindwa kujiunga kutoa hata kitu kwa jamii?

Wanasiasa wetu wapo wapi? Hapo Bungeni mnashindwa kujiunga hata mshahara au Posho ya Kikao kimoja mtoe?

Hawa ni watu wenye unafuu kwenye jamii yetu kwa nn msifanye kitu? Wafanyabiashara wadogowadogo wamepoteana, wafanyakazi sector binafsi baadhi wamepoteana, watoto yatima kwenye Kambi zao wamepoteana, watumishi wetu wa Afya tuwanunulie hata Mask za viwango jamani, ni wakati wa kurudisha kidogo kwa jamii.

Tusiiachie Serikali tu.
Hao uliowataja ni level ya juu sana kuliko Mo.
Pili, usisahau siku zote. Utajiri wa Mo ni wa familia so wake binafsi.
 
Back
Top Bottom