Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

Umeitoa kwa T. O. Mushi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote wapo kwenye lockdown...sisi huku mkuu kasema tuchape kazi.
Muache Mo apige pesa yake bhana
 
Nimekuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu bora ni yule anaetoa kwa mkono wa kulia kisha mkono wa kushoto usijue
Wewe mbona unaendelea na biashara yako ulitaka yeye asitishe
Mh Raisi amesema tupige kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana mo hataki kupunguza ata point bhana kwenye utajiri wake..ndo wabongo tujifunze kubalance shobo akitekwa tena[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Amevurugwa na wana simba baada ya kudaiwa 2.bilions tsh alizo aidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…