Wakati mgumu kabisa kwa mwanaume ni pale anapopanga kum - approach mwanamke anayempenda, women did y

Wakati mgumu kabisa kwa mwanaume ni pale anapopanga kum - approach mwanamke anayempenda, women did y

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!
1.Hakuna ugumu wowote.
2.Wala haihitaji maandalizi.....kwa vile hujui reaction yake.
 
Inategemea,sisi wengine atujui kuzunguka,demu akija unamaneno ya ukweli,kazi imekwisha.
sio longo longo nyingi imeenda imerudi sijui nini,huko nikupoteza muda.
 
Mbona wote huwa mnakuja kivile vile?

Kuomba No. ya simu, Hapo mnaanza kupiga simu zisizo za msingi. mara karibu Lunch na blah blah Nyingiiii.

Hizo blah blah ndizo taabu zenyewe anakuwa anatafuta mlango wa kuingilia
 
Inategemea,sisi wengine atujui kuzunguka,demu akija unamaneno ya ukweli,kazi imekwisha.
sio longo longo nyingi imeenda imerudi sijui nini,huko nikupoteza muda.

Unajua tofauti ya kumuapproach just mwanamke na kumuapproach mwanamke unayempenda kweli ni tofauti eeh
 
Hakuna juhudi yoyote inayotumika ku approach demu. Ni kama vile kujitayarisha ulaji wa Lunch
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!

Of course kwa unayempenda na yupo standard za juu yaani usiseme ni kama unakunywa dawa ya kloqouine vile. Lakini akiwa ni wa kawaida sana aah mbona hakuna tafsida unamwambia mi nataka ku... na wewe kwisha.
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!
Mbona mimi naona wanawake wengi ndio wananiaproach kwa vitendo? dunia imefika mbali sana ndugu yaani wewe inaonekana unaishi karne ya 18. mbona hata humu watu wanatongozana kwa kutumia keyboard? wake up kijana!
 
Mbona njia zenu za kutongoza ni zile zile ,huwa sioni tofauti ya muonjaji na mkaaji utawajua tu kwa matendo baada ya kuingia kwenye mahusiano.
 
Yes, it is a daily routine for adullts and mature hunters!

But, headache, kujigonga midomo na ulimi for amateurs!

tehe, tehe, tehe
 
Mbona wote huwa mnakuja kivile vile?Kuomba No. ya simu, Hapo mnaanza kupiga simu zisizo za msingi. mara karibu Lunch na blah blah Nyingiiii.
ujakosea viv uwa tunakuja vile vile lakni ujue kuna gal wa kumtongoza fasta na mwingne lazma umvutie kasi kama anaelekea.ndo maana kuna watu wanaexprience na vibuti na wengne awajazoea.na mara nying ukiona mwanaume amfahamian na anakuaproch ujue hapo hakuna strong relationshp ni njia ya kuku2mia kutmiza ngono tu.
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!

Marudio.
 
sijui kama maneno na mbwebwe zao zipo sawa
maana mie nakumbana na hunters tu
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!

Tatizo kubwa la kinadada ni pale wanaposhindwa kutofautisha mhusiano au lengo la anayeapproach. Wengi watataka utangaze ndoa ndipo utakapofanikiwa kirahisi (isipokuwa machangu na bar maids). Sasa si kila mwanaume anayemuapproach demu anataka kuoa hivyo ahadi na maneno ya uongo na pengine 'ugumu' unaouzungumzia huanzia hapa...
 
inategemeana, kama wengine walivyosema.. huyo mwanamke unamuhitaji unamuhitaji kwa kumtumia fasta au ndo mke. kama mke ina maana lazima approach yake iwe tofauti na kicheche. Huwezi muambia oyaa ni nataka nit%$#^ne na wewe ila kicheche poa tu unaropoka tu kwamba hata akikataa huna hasara. Mke mtarajiswa lazima umuendee kwa stepu manake ukifanya hovyo akikuchomoka roho itakuuma na mbaya zaidi ukiona mwenzako kampata
 
Back
Top Bottom