Wakati mgumu kabisa kwa mwanaume ni pale anapopanga kum - approach mwanamke anayempenda, women did y

Wakati mgumu kabisa kwa mwanaume ni pale anapopanga kum - approach mwanamke anayempenda, women did y

Mbona wote huwa mnakuja kivile vile?Kuomba No. ya simu, Hapo mnaanza kupiga simu zisizo za msingi. mara karibu Lunch na blah blah Nyingiiii.
hahaaaa Vivian umenfurahsha sana, mimi huwa naenda straight to the point kwakuogopa kucholeka kwa demu
 
Aaaawapi wewe ulisemalo sio kwa kila siku shida ni kwademu wako wa kwanza2 ila kila anaekuja baadae unafatuka 2. ushakata utepe wa uwoga na kutojiamini. na amini usiamin dem mkali ukimfata bila ya bwebwe anakukubali kinoma anajua we ndio kidume cha ukweli
 
Ilikuwa zamani wakati wa mannual search,sasa hivi ukipata no. yake ya simu,kwisha habari.

Unajua tabu ni kwamba, yule ambaye hauna hisia naye unakuwa huna hofu sana kwasababu hata hivyo hukuwa na mpango wa kukaa, ila kwa yule unayempenda na una hisia za ukweli unakuwa na hofu ya vipi kama atakataa? Hili ndo linalotengeneza hofu ninayoiongelea mimi
 
inategemeana, kama wengine walivyosema.. huyo mwanamke unamuhitaji unamuhitaji kwa kumtumia fasta au ndo mke. kama mke ina maana lazima approach yake iwe tofauti na kicheche. Huwezi muambia oyaa ni nataka nit%$#^ne na wewe ila kicheche poa tu unaropoka tu kwamba hata akikataa huna hasara. Mke mtarajiswa lazima umuendee kwa stepu manake ukifanya hovyo akikuchomoka roho itakuuma na mbaya zaidi ukiona mwenzako kampata

Nimeipenda hii! :A S 103:
 
Na hakuna wakati mgumu kwa mwanamke kama akimkataa mwanaume baada ya muda mwingi kupita anajisikia anampenda kwa dhati
 
Na hakuna wakati mgumu kwa mwanamke kama akimkataa mwanaume baada ya muda mwingi kupita anajisikia anampenda kwa dhati

Kweli eeh? Na kwanini umkatae mwanzoni halafu umpende baadae?
 
musimo jr..,mwanaume amegawanyika sehemu 3;mtoto,(mvulana/kijana) na mtu mzima(mwanaume)..,hivyo mwanaume huwa hasumbuliwi na mambo haya..,taabu iko kwa vijana 'sharobaro' ambao hudhani kutongoza ni lazima uwe na sim nzuri,gari,lap top,shati ya kuazima,au kusema yeye ni mtoto wa mbunge flan na kujiongezea mausumbufu yasiyo maana...mwanaume anasomesha jinsi alivyooo...angalia wauza samaki na shombo zao lkn 'wabayaa!'
 
Hahahahahaaa sitakikuongelea sana "WAUZA SAMAKI" lakini naongelea hisia ambazo anakuwa nazo binadamu wa jinsia ya kiume pale anapomtaka mtu ambaye ana hisia za ukweli kwake.

Ntakupa mfano, wewe umewahi kuwa na hisia kwa mtu fulani ambaye labda kwa bahati mbaya akawa hajajua hilo, huwa unapata hisia gani ukimuona au hata ikitokea akasogea karibu yako au hata akakuangalia?
 
mie mpaka kesho bado naogopa sana ; yaani nakuwa na mchecheto sana ndo maana nimefanikiwa kwa huyu mmoja tu!
 
Binafsi siuoni ugumu wowote wa kumtongoza demu na sasa hv wengi wao wamekaa ili wachukuliwe ukirusha maneno ya mvuto game is over!
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!

...labda unapokuwa unatongoza kwa mara ya kwanza.
 
Mbona wote huwa mnakuja kivile vile?

Kuomba No. ya simu, Hapo mnaanza kupiga simu zisizo za msingi. mara karibu Lunch na blah blah Nyingiiii.

si kweli vivian wanaume twatofautiana... hapo wazungumzia wanaume wa kibara! "wapenda sifa " sisi wa pwani twatongoza kikubwa hatucheleweshi kutangaza na ndoa kabisa
 
na wakati mgumu kwa mwanamke mi upi?

I think hili wanawake ndio watwambie, lakini mi nikiwaanzishia labda ni pale wanapompenda mwanaume halafu culture yetu hairuhusu wao kuanzisha manenoz.....
 
Binafsi siuoni ugumu wowote wa kumtongoza demu na sasa hv wengi wao wamekaa ili wachukuliwe ukirusha maneno ya mvuto game is over!

Kama ni vicheche sawa wala hata hujiulizi mara mbili kwasababu u feel nothing over them
 
Back
Top Bottom