2025 sio mbali, subiri utashuhudia.Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..
Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.
1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.
2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..
Tuombe hili liwezekane 👇
View attachment 2189161
Bora tupigwe na matokeo tuyaone kuliko kutopigwa na maisha ya hovyo na unaishi kama mfungwa.👇Hata Roho yako inakushudia.Niseme hivi,uliona Rais wenu anapendwa na mabeberu,ujue anashirikiana nao kuwapiga.Sasa tutapigwa.
Mwacheni Marehemu apumzike kwa amani. Usidhani wewe ni msafi sana wa moyo.Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.
Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.
Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?
Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.
Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.
Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.
Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.
Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?
Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
We kweli mwehu, sampuli ya viongozi aliowapenda maggufuli ni Kama Saabaya,na bashite, na ndio mnataka Samia ateue majambaz kwenye utawala wake wapuuzi nyie, yule mzee ameharibu mentality yenu,amewafanya mpende majambazi Kama Sabaya, na ufisadi, kampuni yake imepewa tenda ya kuongeza kina Cha bandari,imepiga Cha juu billion sitini, mzee alikuwa fisadi mkuuWewe hujui maana ya ufisadi na udikteta,upo mtupu kichwani mwako.Ripoti ya CAG kama umeisikia tells it all.Mkuu seriously Kinana as corrupt as he is,Makamba watarudishwaje to the helm of power.Tony Blair atakuwaje mshauri wa serikali yetu?Jamani Watanzania tupoje?Hivi hatuoni kwamba there is something seriously wrong.
Wewe ni mjinga sana,aliyeandika hayo ni nani,si beberu.Sasa ulitegemewa beberu liandike nini.Si kusifu na kuandika ujinga ili liendelee kupiga.Wake up you moron,minion,fool and loon.Bora tupigwe na matokeo tuyaone kuliko kutopigwa na maisha ya hovyo na unaishi kama mfungwa.👇
View attachment 2189204
Mwendazake alikuwa fisadi mkuuUchungu gani ulio nao wewe? Wizi kipindi cha kina Kinana ni sawa na wizi.kipindi cha Mwendazake?
Pumbavu Sana.
Mjinga ni wewe,nimesema hivi Bora tupigwe na maisha yaende sio tupigwe na sukuma gang tuishie kuambiwa tuwe wazalendo huku nyie mbwa mkineemeka .Wewe ni mjinga sana,aliyeandika hayo ni nani,si beberu.Sasa ulitegemewa beberu liandike nini.Si kusifu na kuandika ujinga ili liendelee kupiga.Wake up you moron,minion,fool and loon.
Bora tupigwe na mabeberu,end of the day wataleta ARV,na misaada mingine, kuliko mwendazake alikuwa anaiba yeye na sukuma gang wenzie tu,bila Nchi kupata manufaa yoyoteHata roho yako inakushudia kwamba unao-ongea ni uongo.Niseme hivii,ukiona Rais wenu anapendwa na mabeberu,ujue anashirikiana nao kuwapiga.Sasa tutapigwa.
Mmmh!! Kazi kweli kweli !!Kwa watu wenye uelewa Moana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia Sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
Watu wajinga sana, unaona Kinana, Nape, January na wengine aina yao wanarudi ulingoni halafu unaamini mazingira sawa ya kisiasa toka kwa Samia?Mungu alisikia kilio cha watu ndio maana kamleta Rais anawaza hata kutupatia Katiba mpya maana tunaweza kuja kupata kichaa..
Nyerere aliwahi onya hatukumsikia.
1.Alisema Katiba ya Tzn inampa madaraka makubwa Rais na kumfanya awe dikteta,tukipata kiongozi kichaa tutajuta.
2.Alionya kutoa Rais kutoka makabila makubwa,pamoja na kwamba yule bwana alikuwa mrudi ila amelelewa na kabila kubwa la kisukuma alilokuwa akijinasibu nalo..
Tuombe hili liwezekane 👇
View attachment 2189161
NI NGUMU SANA KUMHUBIRI SHETANI MPK AKUBALI KUOKOKA NA KUBATIZWA,Wewe hujui maana ya ufisadi na udikteta,upo mtupu kichwani mwako.Ripoti ya CAG kama umeisikia tells it all.Mkuu seriously Kinana as corrupt as he is,Makamba watarudishwaje to the helm of power.Tony Blair atakuwaje mshauri wa serikali yetu?Jamani Watanzania tupoje?Hivi hatuoni kwamba there is something seriously wrong.
Bora awamu yao kulikuwa na usawa kiasi tofauti na awamu ya madikteta.Watu wajinga sana, unaona Kinana, Nape, January na wengine aina yao wanarudi ulingoni halafu unaamini mazingira sawa ya kisiasa toka kwa Samia?
Nadhani upo sahihi,ila tusichoke kuwahubiri,maana hawa sio Mashetani ni watu kama sisi,wamepotoshwa tu.NI NGUMU SANA KUMHUBIRI SHETANI MPK AKUBALI KUOKOKA NA KUBATIZWA,
Ndo yanayojiri sasa?Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.
Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na kushitakiwa na mapolisi.
Hivi kweli tulifikia hatua ya kuzuia watu wasiote ndoto? Je ni sheria ipi katika aridhi ya Tanzania ilikataza mtu kuota aina fulani ya ndoto?
Kama Ile ya Godbless Lema.
Katika aridhi ya nchi yetu ilifikia mahali fulani ukihoji elimu ya mtu unashughulikiwa.
Hivi mtu akihoji elimu yako na unauhakika uliipata kwa njia halali si unamjibu tu na uthibitisho Unatoa kama ni certificate Unatoa au publication Unatoa mbona simple tu.
Na kama uko busy sana unaagiza wasaidizi wako wanatoa majibu kwa niaba yako na unawapa vithibitisho.
Lakini wakati huo hili nalo watu waliamua kutumia nguvu unamshughulikia mtu.
Je, ni kosa kuhoji elimu ya mtu ambaye ni mtumishi wa umma katika aridhi ya Tanzania?
Mungu yupo na kisasi ni juu yake "Ole wao waliofanya unyama huu uliopitiliza Mungu atalipa kisasi."
Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.
Kama ulikuwa unaingiza kipato chako kwa njia halali usingeumizwa kwa kufungwa mirija ya upigaji.
Kama usingekuwa unaharibu maisha ya vijana wetu mitaani kwa kuwauzia madawa ya kulevya serikali isingehangaika na wewe.
Kama haukuwa jangili na kumaliza wanyama wetu wala usingekutana na mkono mahiri wa serikali.
Umejaa chuki just because mtu alitimiza majukumu yake ipasavyo!
Hebu tenda haki.
Halafu nashindwa kuelewa ni kwa nini kuna watu hili jambo hawakuwahi kuliona hata sasa pamoja na watu kulisemea na kulalamika bado hawalioni na hawalielewiShetani alitamalaki, haki ikapotea
Kila siku nakwambia wewe huna akili kichwani.Kwa watu wenye uelewa mpana na wenye upeo wa kuweza kuona mbali,nchi kwenye utawala wa Samia ipo in unchartered waters na its' future has never been so uncertain and bleak.Kama unadhani kwamba kurudishwa madarakani kinyemela kwa akina Kinana,Makamba,Nape,Sofia Simba na kupewa madaraka Ridhiwani ni ishara ya neema na jambo la kufurahia,wewe ni kihiyo uliye-kubuhu.Hili ni tangazo rasmi kwamba Samia ni re-incarnation ya Kikwete na kwamba Kikwete sasa yuko madarakani kwa sura ya Samia.Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.Kiuhalisia sasa ni kwamba nchi ipo mikononi mwa mabeberu na ndio maana tunaona hata mabeberu waliokubuhu kama Tony Blair wakiwa washauri wa Samia.Hili kwa mtu mwenye akili timamu si jambo la kuchekelea hata kidogo.Nchi yetu imekwapuliwa na mabeberu ,nchi yetu imetekwa!
Sikuwahi wala sijafanya kitu chochote kati ya haya uliyoongea hapa lakini SIJAWAHI na wala sitakuja kutetea baadhi ya mambo yaliyofanywa na Utawala huo unaolalamikiwa.Mkuu, kama ungesoma usingefukuzwa kwa sababu ya vyeti fake.