Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,398 Reaction score 23,057 Apr 17, 2022 #61 F4B said: Usijifanye hujui kuhusu Lema kuwa alishikwa kisa ameota ndoto akaisema hadharani.Kuhusu Ben saanane alipotea tu alipoanza kuhoji PhD ya mtu mkubwa aliyetisha. Hata kama una interest za kisiasa basi walao Ubinadamu ukutawale Click to expand... Lema alishitakiwa kwa kosa la kuota ndoto? Waliopotea wote tangu uhuru walihoji elimu za watu?
F4B said: Usijifanye hujui kuhusu Lema kuwa alishikwa kisa ameota ndoto akaisema hadharani.Kuhusu Ben saanane alipotea tu alipoanza kuhoji PhD ya mtu mkubwa aliyetisha. Hata kama una interest za kisiasa basi walao Ubinadamu ukutawale Click to expand... Lema alishitakiwa kwa kosa la kuota ndoto? Waliopotea wote tangu uhuru walihoji elimu za watu?
F F4B JF-Expert Member Joined Jan 13, 2022 Posts 354 Reaction score 450 Apr 17, 2022 Thread starter #62 Tupe orodha hiyo wewe mkuu mimi ninamjua huyo mtanzania mwenzetu aliyepotea baada ya kuhoji PhD ya mtu mzito Sang'udi said: Lema alishitakiwa kwa kosa la kuota ndoto? Waliopotea wote tangu uhuru walihoji elimu za watu? Click to expand...
Tupe orodha hiyo wewe mkuu mimi ninamjua huyo mtanzania mwenzetu aliyepotea baada ya kuhoji PhD ya mtu mzito Sang'udi said: Lema alishitakiwa kwa kosa la kuota ndoto? Waliopotea wote tangu uhuru walihoji elimu za watu? Click to expand...