Na nh msanii wa kwanza kutolewa nduki German.
hahahahaaha hi ndo bongo bhana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nh msanii wa kwanza kutolewa nduki German.
Haaaa mwenzie anajipikilisha sinza...
amefungua milango kwa wasanii kuhijiwa na mtv base haijawahi kutokea bongo
Mdogo mdogo atafika tu
Du nimemkuta dogo palestina hospitali kaja kutibiwa majeraha ya ujerumani kumbe chupa zilimpata bwana maskini na mama ubaya kakataa kumkanda
U made my evening lolNa ni msanii wa kwanza kutolewa nduki German.
huyo demu aliemkumbatia ni nani?
Na kweli watanzania huwa wanahojiwa sio kuhijiwa ndio maana haijawahi kutokea