Wakati mnaponda satellite ya Kenya, haya Marekani anarusha helikopta ya kwanza kwenye sayari ya Mars

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baadhi ya Watanzania mnakesha humu mkiponda na kutukana chombo cha Mkenya kisa wivu wa kijinga wa Kiafrika, huku Marekani anatazamia kurusha helikopta ya kwanza duniani kwenda sayari ya Mars. Mtanzania unayemuonea wivu Mkenya na huna chochote zaidi ya kurusha ungo za kichawi, ni aibu tu hamna lolote.

-------------------------------------------------

NASA is sending a helicopter to Mars.

The Mars Helicopter, a small, autonomous rotorcraft, will travel with the agency’s Mars 2020 rover mission, currently scheduled to launch in July 2020, to demonstrate the viability and potential of heavier-than-air vehicles on the Red Planet.

“NASA has a proud history of firsts,” said NASA Administrator Jim Bridenstine. “The idea of a helicopter flying the skies of another planet is thrilling. The Mars Helicopter holds much promise for our future science, discovery, and exploration missions to Mars.”

U.S. Rep. John Culberson of Texas echoed Bridenstine’s appreciation of the impact of American firsts on the future of exploration and discovery.

“It’s fitting that the United States of America is the first nation in history to fly the first heavier-than-air craft on another world,” Culberson said. “This exciting and visionary achievement will inspire young people all over the United States to become scientists and engineers, paving the way for even greater discoveries in the future.”

Animation of Mars helicopter and Mars 2020 rover.
Credits: NASA/JPL-CalTech

Started in August 2013 as a technology development project at NASA’s Jet Propulsion Laboratory (JPL), the Mars Helicopter had to prove that big things could come in small packages. The result of the team’s four years of design, testing and redesign weighs in at little under four pounds (1.8 kilograms). Its fuselage is about the size of a softball, and its twin, counter-rotating blades will bite into the thin Martian atmosphere at almost 3,000 rpm – about 10 times the rate of a helicopter on Earth.

“Exploring the Red Planet with NASA’s Mars Helicopter exemplifies a successful marriage of science and technology innovation and is a unique opportunity to advance Mars exploration for the future,” said Thomas Zurbuchen, Associate Administrator for NASA's Science Mission Directorate at the agency headquarters in Washington. “After the Wright Brothers proved 117 years ago that powered, sustained, and controlled flight was possible here on Earth, another group of American pioneers may prove the same can be done on another world.”

Mars Helicopter to Fly on NASA’s Next Red Planet Rover Mission
 
By the way did any Kenyan apply for the mars mission to mars scheduled for 2022?
 
Space is the next frontier na usipochangamkia fursa hivo sasa itabidi umekuwa MTU(Nchi) wa kukodisha in any space colonies in the near future and I think the meek(Tanzania) shall truly inherit the Earth 😀😀😀😀
 
Watanzania mnakesha humu mkiponda na kutukana chombo cha Mkenya kisa wivu wa kijinga wa Kiafrika, huku Marekani anatazamia kurusha helikopta ya kwanza duniani kwenda sayari ya Mars. Mtanzania unamuonea wivu Mkenya na huna chochote zaidi ya kurusha ungo za kichawi, ni aibu tu hamna lolote.

-------------------------------------------------

NASA is sending a helicopter to Mars.

The Mars Helicopter, a small, autonomous rotorcraft, will travel with the agency’s Mars 2020 rover mission, currently scheduled to launch in July 2020, to demonstrate the viability and potential of heavier-than-air vehicles on the Red Planet.

“NASA has a proud history of firsts,” said NASA Administrator Jim Bridenstine. “The idea of a helicopter flying the skies of another planet is thrilling. The Mars Helicopter holds much promise for our future science, discovery, and exploration missions to Mars.”

U.S. Rep. John Culberson of Texas echoed Bridenstine’s appreciation of the impact of American firsts on the future of exploration and discovery.

“It’s fitting that the United States of America is the first nation in history to fly the first heavier-than-air craft on another world,” Culberson said. “This exciting and visionary achievement will inspire young people all over the United States to become scientists and engineers, paving the way for even greater discoveries in the future.”

Animation of Mars helicopter and Mars 2020 rover.
Credits: NASA/JPL-CalTech

Started in August 2013 as a technology development project at NASA’s Jet Propulsion Laboratory (JPL), the Mars Helicopter had to prove that big things could come in small packages. The result of the team’s four years of design, testing and redesign weighs in at little under four pounds (1.8 kilograms). Its fuselage is about the size of a softball, and its twin, counter-rotating blades will bite into the thin Martian atmosphere at almost 3,000 rpm – about 10 times the rate of a helicopter on Earth.

“Exploring the Red Planet with NASA’s Mars Helicopter exemplifies a successful marriage of science and technology innovation and is a unique opportunity to advance Mars exploration for the future,” said Thomas Zurbuchen, Associate Administrator for NASA's Science Mission Directorate at the agency headquarters in Washington. “After the Wright Brothers proved 117 years ago that powered, sustained, and controlled flight was possible here on Earth, another group of American pioneers may prove the same can be done on another world.”

Mars Helicopter to Fly on NASA’s Next Red Planet Rover Mission
Nani kakwambia Watanzania kuwa tunawachukia Wakenya,yaani Uzi mzuri afuu unaweka pumba za kijinga.
Asee mkuu umezingua sana
 
Kiazi kimoja kimeoza kwenye ngunia huharibu viazi vyote vizuri...tame your people man.
 
Assume wewe ndo kiazi kimeoza,sasa utatosha kuliwakilisha taifa zima kwa data zako za ajabu×2 mkuu?!!
 
MK254 et al, umefikiaje conclusion kwamba Watanzania (maana hukusema baadhi ikiwa na maana wote) tunawaonea wivu Wakenya?

Kweli hapo nimekosea kwa kutokusema baadhi, niwie radhi maana sio wote, kuna wale wametoa hongera ila kuna wametokwa mipovu utafikiria wamefiwa aisei.
 
Tangu lini mkatengeneza satellite??? Yani satellite atengeneze mjapani pia mseme mmetengeneza nyie?? Smh[emoji23][emoji23] tena basi Hiyo satellite hata haijarushwa kutoka Kenya.. Imerushiwa Japan[emoji23][emoji23]
 
NASA wanacheza Na akili za watu!.
Nilionaga wapo Na mambo ya hovyo mpaka ikabidi nijiengue!..
Kuna baadhi ya mambo Huwa wanafanya kuchanganya watu!.

Mungu mkubwa ile project yao ya 2022+imekwamaa coz wamechanganyana Na kukimbiana

Naona Dunia ya amani inakuja!.
 
Technology inaweza kununuliwa, satellite ya Kenya bas iyo haijalishi imerushiwa Japan na katengeneza nani?
 
Pesa ($1mn ) katoa mjapani, technology ya mjapani, na pia hako kadude kamerushwa kwenye space toka japani, Kenya ina nini basi.?
 
Kweli hapo nimekosea kwa kutokusema baadhi, niwie radhi maana sio wote, kuna wale wametoa hongera ila kuna wametokwa mipovu utafikiria wamefiwa aisei.
Hakuna tatizo, uungwana vitendo. Kuna wengi wa Watanzania hatuna husda na jirani zetu. Hao wachache hawawezi kuwa wawakilishi wa watu Mil 50+

Ninyi ni jirani zetu na tuna share mambo mengi ikiwemo EAC. Hakuna maana kuoneana kijicho.
 
Tangu lini mkatengeneza satellite??? Yani satellite atengeneze mjapani pia mseme mmetengeneza nyie?? Smh[emoji23][emoji23] tena basi Hiyo satellite hata haijarushwa kutoka Kenya.. Imerushiwa Japan[emoji23][emoji23]
Hata kama hawajatengeneza hata nukta, kama ni ya kwao hiyo pekee ni hatua kubwa mbele. In any case wanastahili pongezi
 
Back
Top Bottom