Wakati mnaponda satellite ya Kenya, haya Marekani anarusha helikopta ya kwanza kwenye sayari ya Mars

Pesa ($1mn ) katoa mjapani, technology ya mjapani, na pia hako kadude kamerushwa kwenye space toka japani, Kenya ina nini basi.?
Ina satellite angani ama ukipenda space. Does Tanzagiza have one? Tag kama ipo.
 
Sisi tunafatilia umbea insta,satellite ina umbea!!!!???????
 
Hakuna tatizo, uungwana vitendo. Kuna wengi wa Watanzania hatuna husda na jirani zetu. Hao wachache hawawezi kuwa wawakilishi wa watu Mil 50+

Ninyi ni jirani zetu na tuna share mambo mengi ikiwemo EAC. Hakuna maana kuoneana kijicho.

On an off-topic, hiyo link (programming talk) kwenye signature yako haifungui.
 
Ah! Nilisahau kuiondoa. Imeondolewa kwa sababu ya sheria zetu mbovu. Inatakiwa kulipiwa $900+

Kwa kuwa haikuwa kibiashara imefungwa.
 
Wakenya bwana!
Mungu Mkubwa haijapaa kutoka hapo Kenya!
Mngetusumbua sana nyie viumbe
 
wabongo. mbona mna wivu ivyo jemeni? si mrushe ata mawe angani nkt!
 
Hivi kweli huwa mnaamini propaganda za Marekani!!? Wamarekani wana propaganda nyingi kweli za kudanganya ulimwengu. Eti mara wameenda kwenye Mwezi, oh Mara Mars. Hizo ni propaganda tu ndugu.

Wanatengeneza movie na kutengeneza animations, wewe utajulia wapi umetokea kakamega. Hahahaha. Mimi nilikuwa nasubiri kuona video ya urushaji wa satellite ya kenya. Wanarusha drone wanaita satelite. Na mtuambie kazi ya hiyo satelite ni nini? Acheni kuiga propaganda za kijinga watu wenu wanakufa njaa. China ipo juu sana ki technolojia lakini huwezi sikia propaganda hizo za kijinga. Wanalisha ujinga watu ili waonekane superior. Mbona NK iliwatoa kamasi!?
 
Wewe nae Ingawa Mimi Ni mtanzania mwenzio ila kwa hii comment yako unaonyesha jinsi gani ulivyo mtupu kichwani!
Unamfamu Elon musk??
Mwenzio Sasa hivi halali anafanya utafiti wa kuunda chombo kitakachoenda huko anga za mbali kwa kasi ya mwanga Wewe Bado unalala sebuleni kwa Shemeji yako halafu unajifariji eti ni movie!
 
Hahahahaha!!! Hebu acha ujinga, unweza ukanipatia proof ya kwamba wewe ni mtanzania?
Wewe ni mktanzania toka wapi? Umesoma wapi?
Usijitie una jua sana. Je unaweza ukaleta proof ya wamarekani kwenda mwezini?
Hapa siongei na akili ndogo kama wewe. Watu wasomi na wenye akili wanajua.
Ni kama wanapo leta propaganda za UKIMWI unasababishwa na HIV+. Wenye akili wanajua lakini wajinga kama wewe mtaendelea kuliwa vichwa.
 
Hata nikikupa proof Bado huwezi kuniamini!

[emoji23] [emoji23]
 
NASA wanacheza Na akili za watu!.
Nilionaga wapo Na mambo ya hovyo mpaka ikabidi nijiengue!..
Kuna baadhi ya mambo Huwa wanafanya kuchanganya watu!.

Mungu mkubwa ile project yao ya 2022+imekwamaa coz wamechanganyana Na kukimbiana

Naona Dunia ya amani inakuja!.
mkuu hebu funguka zaidi wamekwamaje nini kilicho wachanganya n.k
 
Hivi kweli huwa mnaamini propaganda za Marekani!!? Wamarekani wana propaganda nyingi kweli za kudanganya ulimwengu. Eti mara wameenda kwenye Mwezi, oh Mara Mars. Hizo ni propaganda tu ndugu.

Wanatengeneza movie na kutengeneza animations, wewe utajulia wapi umetokea kakamega. Hahahaha. Mimi nilikuwa nasubiri kuona video ya urushaji wa satellite ya kenya. Wanarusha drone wanaita satelite. Na mtuambie kazi ya hiyo satelite ni nini? Acheni kuiga propaganda za kijinga watu wenu wanakufa njaa. China ipo juu sana ki technolojia lakini huwezi sikia propaganda hizo za kijinga. Wanalisha ujinga watu ili waonekane superior. Mbona NK iliwatoa kamasi!?
We mkalenjini mbna una akili chafu?
 
Back
Top Bottom