Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

Kenge ni kenge tu hata umkate mkia!!!
Labda CAf walikuwa hawaoni hivi vitu au rivers utd hawakuona maana walipost hadi kwenye page official twitter na insta na facebook, yaani watu hawajaruhusiwa kuingiz amashabiki kibabe wanaamua wanavyotaka wao, wshazoea kuwashika sharubu Tff sasa wanapimana ubavu na Caf

Screen Shot 2021-10-15 at 13.07.09.png
 
Mkuu hawa Jamaa ni Wapuuzi hawana mfano. Wanadhani CAF ni kama TFF walioizoea na Kuipelekesha watakavyo.

Na wakizubaa hivyo Faini itaongezeka.
Narudia tena

Natamani wasilipe waone itakavokua hao CAF watakavopita nao kama mwewe
 
Back
Top Bottom