Wakati mtanange kati ya mahasimu England dhidi ya Iran ukiendelea TBC wanagonga mirindimo ya pwani

Wakati mtanange kati ya mahasimu England dhidi ya Iran ukiendelea TBC wanagonga mirindimo ya pwani

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Saa 10.20 jioni tarehe 21/11/2022 mechi kali ya Kombe la Dunia inaendelea, TBC waliojigamba kutuonesha mubashara michuano hiyo wanapiga "Aso hili ana lile".
20221121_161734.jpg
 
Hapo ngoma mpaka saa moja we washa tu DStv kama unayo
 
Marakumi ITV wangechukua tenda hawa jamaa hivyo kweli Tambo nyng ooh tutaonyesha bure haya sasa hamna lolote
Mbona iko wazi mkuu,kati ya game 64.TBC wamepewa kuonyesha game 24
 
Channel zote za Taifa zimepewa mechi sawa, atakayorusha TBC ndio hiyo atarusha KBC, UBC, ZBC na channel za taifa za nchi zingine
 
Back
Top Bottom