Wakati mtanange kati ya mahasimu England dhidi ya Iran ukiendelea TBC wanagonga mirindimo ya pwani

Wakati mtanange kati ya mahasimu England dhidi ya Iran ukiendelea TBC wanagonga mirindimo ya pwani

Eti aso hili ana lile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TBC hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aso hili ana lile.

Nimecheka hatari sana.
 
ukiwa huna pesa utateseka sana duniani
Ndio dunia ilivyo na hao wenye pesa ni asilimia ndogo sana ya watu wote duniani na la sivyo Tv zote zingekuwa za kulipia kusingekuwa na FTA Channels.
 
Back
Top Bottom