kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Mbona iko wazi mkuu,kati ya game 64.TBC wamepewa kuonyesha game 24Marakumi ITV wangechukua tenda hawa jamaa hivyo kweli Tambo nyng ooh tutaonyesha bure haya sasa hamna lolote
Walishindwa nini kulipia na kuonyesha zote 64 ikiwa timetable hazigonganiMbona iko wazi mkuu,kati ya game 64.TBC wamepewa kuonyesha game 24
MmhMbona iko wazi mkuu,kati ya game 64.TBC wamepewa kuonyesha game 24
Hapo ngoma mpaka saa moja we washa tu DStv kama unayo
TBC hawalipii chochote, wao kama chombo cha serikali wamepewa hiyo nafasi bure na FIFA na hizo mechi wamepangiwa na FIFA sio wao waliopangaWalishindwa nini kulipia na kuonyesha zote 64 ikiwa timetable hazigongani
Bashiru hajaliona hili?😂😂😂Saa 10.20 jioni tarehe 21/11/2022 mechi kali ya Kombe la Dunia inaendelea TBC waliojigamba kutuonesha LIVE michuano hiyo wanapiga "ASO HILI ANA LILE"
View attachment 2423213
Kwahiyo mtoano + robo fainali itakuwa hivyo hivyo ?Wamepewa kurusha mechi moja kila siku
TBC hawalipii chochote, wao kama chombo cha serikali wamepewa hiyo nafasi bure na FIFA na hizo mechi wamepangiwa na FIFA sio wao waliopanga
ukiweka UBC ya Uganda KBC ya Kenya na ZBC ya Zimbabwe hawaoneshi mechi Mkuu Sasa Hii imekaaje
Wasingejigamba "Mbungi" yote buuuree.Mbona jana walishasema,,leo wataonyesha mechi ya saa1 kati ya Uholanzi na Senegal.Muwe waelewa basi si kila kitu kudis tu.