Ustuambie mambo ya sijui Dstv wakati tuna Tv tanayoilipia kwa kodi zetu lakini wao wanafanya kazi za ccm tu. Takataka kabisa.Usipende vya bure mkuu, lipia dstv michanel ya kumwaga kule.
Dstv tamu sana.
😅😅Saa 10.20 jioni tarehe 21/11/2022 mechi kali ya Kombe la Dunia inaendelea, TBC waliojigamba kutuonesha mubashara michuano hiyo wanapiga "Aso hili ana lile".
View attachment 2423213
TBC hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti aso hili ana lile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa sirudii, endelea kuwasubiri tbccmUstuambie mambo ya sijui Dstv wakati tuna Tv tanayoilipia kwa kodi zetu lakini wao wanafanya kazi za ccm tu. Takataka kabisa.
ukiwa huna pesa utateseka sana dunianiUstuambie mambo ya sijui Dstv wakati tuna Tv tanayoilipia kwa kodi zetu lakini wao wanafanya kazi za ccm tu. Takataka kabisa.
Vya bure ni ghali sanaSaa 10.20 jioni tarehe 21/11/2022 mechi kali ya Kombe la Dunia inaendelea, TBC waliojigamba kutuonesha mubashara michuano hiyo wanapiga "Aso hili ana lile".
View attachment 2423213
Ndio dunia ilivyo na hao wenye pesa ni asilimia ndogo sana ya watu wote duniani na la sivyo Tv zote zingekuwa za kulipia kusingekuwa na FTA Channels.ukiwa huna pesa utateseka sana duniani
TBC hawakulipia kuonesha weldi kapu,hiyo mbavu hawana...wamepata kitonga mzeeWalishindwa nini kulipia na kuonyesha zote 64 ikiwa timetable hazigongani