Wakati mwalimu Nyerere anadai uhuru hakuwa mfanyabiashara wa mafuta

Wakati mwalimu Nyerere anadai uhuru hakuwa mfanyabiashara wa mafuta

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hii inatufunza kuwa siasa yetu sasa imeingiliwa sana na wafanyabiashara na wanaohamasisha maandamano wanafanya hivyo ili kupoka madaraka kutoka kwa wazalendo wanaojali wananchi wa hali ya chini.

Nyerere-Hakua mfanyabiashara
Mwinyi-hakuwa mfanyabiashara
Mkapa-Hakuwa mfanyabiashara
Kikwete-Hakuwa mfanyabiashara
Magufuli-Hakuwa mfanyabiashara
Samia-Sio mfanyabiashara.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ukiuzoea uchuuzi utaona biashara ni lazma ufungue genge ila ukiiangalia kwenye angle ya huduma. Hakuna biashara yenye faida kubwa na ya uhakika katika LDC's kama siasa..
 
Back
Top Bottom