Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza!

Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo.

Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi kutoa tahadhari pale inapobidi.

Dereva anapaswa kuwa msikivu hasa anapogundua hali halisi aliyonayo ili kuhakikisha gari inakuwa salama.
 
Back
Top Bottom