Wakati mwingine hawa wasemaji wa Vilabu Vyetu Hebu Waige Wazungu kidogo.

Wakati mwingine hawa wasemaji wa Vilabu Vyetu Hebu Waige Wazungu kidogo.

Hii kauli unakosea sana na karne hii hukupaswa uongee kitu kama hiki. Jerry muro mlikuwa naye yanga ni type ya wasemaji wale wa kama wa simba n.k

Ulemavu wa ngozi unaathiri mpaka uwezo wa kufikiri mkuu
 
Tutumie lugha za staha kukosoa haidhuru mpinzani kasema nini. Huu ni unyanyapaa kwa walemavu wa viungo, unaopigwa vita popote duniani. Tujizuie jazba, tuchunge ndimi zetu..... Ulemavu unaweza kutokea muda wowote maishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hapo nme kosea nn kusema ulemavu una changia?
 
Uyo Manara ukimjibu kwa mtindo sahihi utaambiwa unamuonea ivyo ni vema kumuangalia tu naona amekomaa kila siku kuizungumzia Yanga ila Dismas kamkaushia tu nadhani ni busara kukaa kimya.
Nikweli kabisa akijibiwa itaonekana anabaguliwa.
 
Usiishi kama kitabu wala kukopi
Kwani lazima tufanane na ulaya !?? Sisi tunayo ya kwetu na wako wapambane na hali zao huko ulaya!
Ndio lazima tufanane na Ulaya, kwa sababu wao ndio wameuanzisha na kuuendeleza, wao ndio wanauwekea Sheria na kanuni. Sisi hatua tulichobadilisha, au kuna timu Tanzania hii inacheza mpira wa pembe tatu kwa viatu vya kamba (sandals)?
 
Back
Top Bottom