Tutumie lugha za staha kukosoa haidhuru mpinzani kasema nini. Huu ni unyanyapaa kwa walemavu wa viungo, unaopigwa vita popote duniani. Tujizuie jazba, tuchunge ndimi zetu..... Ulemavu unaweza kutokea muda wowote maishani.
Sent using
Jamii Forums mobile app