ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wewe kama una laki tano au milioni, na ukiona maisha ya mjini hayaeleweki, nenda shamba. Huko jifanye huna kitu. Watu wana mashamba huko hayapotei, unaweza kupewa hata bure ulisafishe na ulime.
Shamba mwaka wako mmoja tu, eka 10 ukilima mbaazi, mahindi, mjomba umetoka mixer na vibiashara na kanyumba aisee unaishi kiboss.
Mabonde yapo mengi sana, tafuta masela, walimishe, wavutishe, waleweshe, walishe ugali. Jifanye kama fala mwaka wako mmoja tu.